rom
Senior Member
- Mar 26, 2011
- 111
- 16
mambo vipi wapendwa. Rafiki yangu anatatizo la kuumwa kila anapolala na mke wake. Ni kwamba anasema kwa sasa limekuwa sugu zamani hata vitatu anatoka yupo vizuri lakin kwa sasa bao moja tu analala pemben na asubuh anaamka na homa mwili wote unauma na uchovu wa viungo.