Goli ya kwanza KMC against Yanga match fixing imefanyika

labda kama hujui mchezo wa mpira,hivi unakumbuka penati na yule mnyarwanda wa singida united?
 
Basi tufanye 2-0 kuondoa ukakasi wa hilo goli la kwanza unasemaje we kolo

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Kwa Hali kama hii Kuna sababu Gani serikali inachelewesha ujenzi wa mnara wa Rage na Akidi imetimia.
Ni sahihi. Hawa vijana na hizi nyuzi zao sijui hawafikirii wakati wa kuandika kwani wanajidharirisha na kujitia aibu sana.
 
Match fixing huongi timu nzima. Unacheza na key players mfano kipa. Beki
 
Vip lile goli la Fred dhidi ya tabora ulilielewa wewe dunduka au ulimuelewa kipa wa tabora?
Yule kipa alikula mlungula.
 
Kwa Hali kama hii Kuna sababu Gani serikali inachelewesha ujenzi wa mnara wa Rage na Akidi imetimia.
Na mnara wa Luc Eymael na Mayele waliosema kwamba Yanga ni MANYANI NA MAMMBWA na mayele akisema yanga wanatumia majini kushinda mechi
 
Hata 5imba walituulizia magoli matano..!!
 
Zile tano tano zai na nyie ilikuwaje?
 
Hebu tuma salamu kwa watu watatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…