Hadi kufikia leo tarehe 20 January 2020 mchezaji wa ndani wa Man United Jesse Lingard ktk mmsimu wa EPL wa 2019/20 anazidiwa goal assist na golikipa wa Liverpool Alisson Becker, baada ya mchezaji huyo wa Liverpool hapo jana kupata assist alipompasia mchezaji Mohamed Salah pasi ya goli la dakika ya mwisho ya mchezo kati ya Liverpool na Manchester United pale uwanjani Anfield.
Kwani Jesse Lingard mwenyewe au Ole wanasemaje kuhusu kiwango chake msimu huu?
Nisadieni kuuliza kwa hao jamaa. Au Alisson Becker kasaidiwa kupata assist na VAR?