Golikipa Allison Becker amzidi goal assist Jesse Lingard

Golikipa Allison Becker amzidi goal assist Jesse Lingard

Titicomb

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2012
Posts
12,823
Reaction score
21,210
Hadi kufikia leo tarehe 20 January 2020 mchezaji wa ndani wa Man United Jesse Lingard ktk mmsimu wa EPL wa 2019/20 anazidiwa goal assist na golikipa wa Liverpool Alisson Becker, baada ya mchezaji huyo wa Liverpool hapo jana kupata assist alipompasia mchezaji Mohamed Salah pasi ya goli la dakika ya mwisho ya mchezo kati ya Liverpool na Manchester United pale uwanjani Anfield.

Kwani Jesse Lingard mwenyewe au Ole wanasemaje kuhusu kiwango chake msimu huu?
Nisadieni kuuliza kwa hao jamaa. Au Alisson Becker kasaidiwa kupata assist na VAR?
 
CC: Baba Swalehe waite na wadau wengine wa LFC na Man U waje watoe maoni yao.
Kama vipi tumchangie pesa Jesse Lingard aje kucheza ligi ya bongo tu maana kule anatia aibu.
 
Naona Man U wanapita kimya kimya kwenye uzi wangu.
 
Samatta EPL 0 game 0 assist 0 goal

Lingard 18 games 0 assist 0 goal

[emoji574][emoji574][emoji574][emoji23][emoji574][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Samatta EPL 0 game 0 assist 0 goal

Lingard 18 games 0 assist 0 goal

[emoji574][emoji574][emoji574][emoji23][emoji574][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu nahisi hizo mechi 18 chache.
Hajapata assist tangu siku ya Boxing Day mwaka 2018 hadi tarehe 19 January 2020.
 
Back
Top Bottom