Golikipa Djigui Diarra wa Yanga anawania tuzo ya golikipa bora afrika kwenye tuzo za CAF 2023. Ni Diarra, ni Yanga na ni vita huko CAF

Kwakweli Diara anastahili kabisa na atabeba hiyo tuzo bila wasiwasi
Katika vipengele ambavyo mshindi yuko wazi ni hicho za goalkeeper bora.
 
Hawezi beba, mafanikio ya yanga kufika fainali yamembeba. Kuna Onans, kipa wa Morocco, kipa wa Al ahly na wengineo Bora. Ukija short list ndio mtaona. Pamoja na kuwaponda Simba lakini tayari kawatangulia kwa kutoa mchezaji mwenye goli Bora.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…