Golikipa Djigui Diarra wa Yanga anawania tuzo ya golikipa bora afrika kwenye tuzo za CAF 2023. Ni Diarra, ni Yanga na ni vita huko CAF

Golikipa Djigui Diarra wa Yanga anawania tuzo ya golikipa bora afrika kwenye tuzo za CAF 2023. Ni Diarra, ni Yanga na ni vita huko CAF

Manula yuko Kidatu kwao anauguza donda la kurogwa na Ali Salim kwa kusaidiwa na Bocco.

Kweli simba ni chama cha wachawi.
B… umeona hii? Nimecheka sana!
Why ashirikiane na Bocco lakini? Lols
Mdakuzi
 
B… umeona hii? Nimecheka sana!
Why ashirikiane na Bocco lakini? Lols
Mdakuzi
Labda jamaa atakuwa amechoka kufikiria. Kwa sababu Manula bado anaendelea kufanya mazoezi ya awali ya kurejea kwenye mazoezi kamili.

Ova
 
Back
Top Bottom