Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,020 Reaction score 79,098 Nov 2, 2023 #21 Medecin said: Manula yuko Kidatu kwao anauguza donda la kurogwa na Ali Salim kwa kusaidiwa na Bocco. Kweli simba ni chama cha wachawi. Click to expand... B… umeona hii? Nimecheka sana! Why ashirikiane na Bocco lakini? Lols Mdakuzi
Medecin said: Manula yuko Kidatu kwao anauguza donda la kurogwa na Ali Salim kwa kusaidiwa na Bocco. Kweli simba ni chama cha wachawi. Click to expand... B… umeona hii? Nimecheka sana! Why ashirikiane na Bocco lakini? Lols Mdakuzi
Mdakuzi JF-Expert Member Joined Apr 6, 2012 Posts 4,294 Reaction score 6,872 Nov 2, 2023 #22 Nifah said: B… umeona hii? Nimecheka sana! Why ashirikiane na Bocco lakini? Lols Mdakuzi Click to expand... Labda jamaa atakuwa amechoka kufikiria. Kwa sababu Manula bado anaendelea kufanya mazoezi ya awali ya kurejea kwenye mazoezi kamili. Ova
Nifah said: B… umeona hii? Nimecheka sana! Why ashirikiane na Bocco lakini? Lols Mdakuzi Click to expand... Labda jamaa atakuwa amechoka kufikiria. Kwa sababu Manula bado anaendelea kufanya mazoezi ya awali ya kurejea kwenye mazoezi kamili. Ova