Golikipa mahiri Diara mbioni kuikacha Yanga SC

Rais wao badala akae ofisini adili na mikataba ya wachezaji wake, yeye alikuwa anazunguka ili apate nafasi ya kupiga picha na wachezaji wa Simba, matokeo yake wachezaji wanakuja wanabadili mawazo wakifika airport
 
Hakuna namba ngumu kuuzika kama GK ndugu mleta Uzi unaweza kushangaa GK ana saves nyingi za hatari na footwork ya kiwango cha SGR ila ndoivo GK ni ngumu sana kupata ofa kubwa kama namba nyingine hivyo uto waondoe shaka Mdaka mishale yupo sana Avic de utopolo town
 
Hakuna tatizo mradi bilioni zije Yanga. Metacha na Mshery wako safi sana sasa hivi kujaza pengo hilo. Kule Lubumbshi Metacha aliwabana sana Mazembe hawakuambulia kitu. Mwanzoni mwa Ligi ilitokea pia Diatrra yuko kwenye timu ya taifa ya Mali Msheri akaziba ukuta wa goli la yanga hakuna mpira uliopita.
 
mmeshamalizana na mayele mmehamia kwa diara duh makolo bana
 
Diara golikipa mahiri raia wa Mali mbioni kuikacha Yanga sc, inaelezwa kuwa, golikipa huyo amepata donge nono la mishahara kwenye moja ya vilabu vikubwa barani Africa.


View attachment 2690218
Nikuhakikishie hakuna klabu kubwa afrika inaweza msajili diara, hana tofauti na kaseja, miili yao inawaangusha
 
Kaka bora golini akae Mshery kuliko Metacha. Pia kwa kutazama katika yote, Diara ametuokoa sana msimu uliopita, jamaa kuziba nafasi yake inatupasa tutafute kipa mwingine na sio hawa waliopo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…