Golikipa wa ajabu

You have made my daaaaaay[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji379] [emoji379] [emoji379] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huyu kipa ni special case inabidi watani wa jadi Yanga waende awape siri ya mafanikio haswa wanapofika kwenye hatua ya penati ili wasiwe wanafungwa kirahisi rahisi.
 
Giuseppe, umenishawishi kutumia MB's zangu kutazama/kumtazama Kipa huyu katika Mikwaju hii ya Penati.....!!

Kama sio Maigizo, ningeshauri Yanga tumsajiri huyu KIPA, atatusaidia sana hasa tukikutana tena katika Mechi na Watani (Simba).....joke..!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hatari kipa huyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo real ni comedy wakuu

Sipendi kuona damu sijui kwa nini

huyu kipa ni special case inabidi watani wa jadi Yanga waende awape siri ya mafanikio haswa wanapofika kwenye hatua ya penati ili wasiwe wanafungwa kirahisi rahisi.

Hii ilikuwa match kweli au kiini macho

Kama wewe ni wa kiume sawa.

ha ha ha ha


Umenifurahisha sana

Sent using Jamii Forums mobile app

weka basi hata like tano, au bonyeza kile kitufe cha kuongezea nini sijui.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…