marcus dedsec
JF-Expert Member
- Nov 29, 2017
- 944
- 987
Duuuh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni aishi manula sio aishi mileleFresh mkewe km mkorea Fulani ivi !!!.
Big up Aishi milele.
Mbona wengine wakifunga ndoa wanavaa nguo kama wazungu..wanavaa suti...Hv ukifunga ndoa lazima uvae kama warabu
Hv ukifunga ndoa lazima uvae kama warabu
Mbona wengine wakifunga ndoa wanavaa nguo kama wazungu..wanavaa suti...
Mkuu ndoa haijamsaidia kabisa bado anafungwa magoli yale yale ya hovyo hovyoSawa, inaelekea alikuwa anawaza ndoa maana siku za karibuni amekuwa akiruhusu magoli hovyohovyo. Sasa nadhani atatulia