GE2025 Golugwa: Iwapo serikali na vyombo vinavyosimamia uchaguzi wasipobadilisha mifumo ya uchaguzi hatutashiriki uchaguzi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Amani Golugwa ambaye ni naibu katibu mkuu wa CHADEMA akizungumza na jambo Tv Agosti 19, 2025 amesema kuwa endapo serikali na vyombo vinavyosimamia uchaguzi wasipo badilisha mifumo ya uchaguzi msimamo wao wa kutoshiriki uchaguzi hautabadilika, hii ni kutokana kile walichokiona katika chaguzi za nyuma kama ule wa 2019, 2020, na 2024.
 
Na uchaguzi batili UTAYEYUKA.

NRNE 💪 🔥
 
Sahihi kabisa kwa asilimia 💯
 
Amani Golugwa ambaye ni naibu katibu mkuu wa CHADEMA akizungumza na jambo Tv Agosti 19, 2025 amesema kuwa endapo serikali na vyombo vinavyosimamia uchaguzi wasipo badilisha mifumo ya uchaguzi msimamo wao wa kutoshiriki uchaguzi hautabadilika, hii ni kutokana kile walichokiona katika chaguzi za nyuma kama ule wa 2019, 2020, na 2024.
Screenshot_20250615-124601~2.png
 
Back
Top Bottom