GE2025 Golugwa: Tuendelee kuheshimu mapumziko ya Mbowe atakapokuwa tayari atatupa majibu

GE2025 Golugwa: Tuendelee kuheshimu mapumziko ya Mbowe atakapokuwa tayari atatupa majibu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) – Tanzania Bara, Amani Golugwa ameweka sawa kuhusiana na ukimya mzito wa mwenyekiti mstaafu wa chama chao Freeman Mbowe.

 
Ni heshima tu anaendelea kupewa lakini kwa matusi ya marafiki,chawa wake na family member wake itoshe yeye kutoongea kitu TU ili watu wasi-confirm kitu
 
Viongozi wa CDM smart sana.

Jamaa mstaafu anasubiri wamsagie kunguni ili apate sababu za kuruka nao na hivyo kutimkia kule rasmi, lakini wapi.

Ndiyo kwanza viongozi wanazidisha upendo wa kimkakati kwake, japo wanajua huyo kitambo sana yuko kwenye Government Project.

Who will shoot first? Time will tell.
 
Back
Top Bottom