GOMA: Did the real war just begun?

GOMA: Did the real war just begun?

Hii mbinu ya kupiga ndani ya Rwanda nimeikubali,inaweza amsha hamasa ya wanaompinga kagame pale Rwanda....kumvuruga PK inabidi kuanzie ndani kwake.
Pale Rwanda ni suala la muda tu,kuna watu wakipata mwanya kagame atakua na hali mbaya.
 
Kuna taarifa zinadai Jeshi la congo lime piga Rwanda
 
Kwa mujibu wa nani?....ielewemitaa:?
Jeshi la namna hii unategemea maajabu, wanajeshi 1200 wamesalimu amri hawapigani
AE8F05DB-BB36-4E96-8134-AE02BAA07148.png
 
Back
Top Bottom