GOMA: Wanajeshi wa FARDC waamua kujisalimisha kwenye kambi ya jeshi ya M23

jaman mnalaumu jeshi la DRC ,linalopigana na vikundi vya kiasi zaid ya 100 ilihali jeshi lenu limewashindwa panyaroad wasio na silaha , DRC ipewe pongez mpk hapo ilipo
Mara ya mwisho lini kusikia ripoti ya panya road Tanzania?
 
Baada ya wiki mbili, kufuatia vita vya serikali ya DRC na kundi la waasi la M23, wanajeshi wa FARDC, waliokuwa wamekimbilia kwenye kambi ya MONUSCO, wameamua kutoka na kujipeleka kwenye kambi ya jeshi ya M23 ili iamue yenyewe hatma ya maisha yao.

Hili limetokana na maisha magumu waliokuwa wakipitia wakiwa huko kwenye kambi ya MONUSCO. Huduma za mhiumu ikiwemo maji na chakula, vimekuwa changamoto kubwa kwao, huku serikali na yenyewe ikikaa kimya, jambo waliloona kama kutelekezwa, na kuamua kujisalimisha.

Awali, waliojisalimisha, walipelekwa kambi ya jeshi ya Katindo,walihudumiwa,na wenyewe kukili hawakutegemea wangepokelewa vizuri.

Badae walipelekwa kambi ya Rumangabo, kwa ajili ya masomo maalumu, baada ya hapo watakaokuwa na nia ya kuendelea na jeshi na kukizi vigezo, watapewa mafunzo ya kijeshi yatakayowawezesha kujiunga na jeshi hilo.

Watakaojisikia kupumzika na wale waliotupwa na umri, watawezeshwa kurudi uraiani. Kwa mjibu wa uongozi wa AFC/M23, wanajeshi hao licha ya kukamatwa na kuwa chini ya ulinzi wa M23, mishahara yao watalipwa kama kawaida.
Duh!...,hii kali...
 
Haya fursa ndio hii sasa kwenda kuungana na M23 😀 Ajira nje nje
 
Mibunge ya DRC inalamba 21000 US dollars kwa mwezi huku hao FARDC wapiganaji wanalipwa 107 US dollars, kwa hali hiyo wanapataje morale ya kupigana?
 
Hii ngoma inachezwa vizuri kweli, inawekezekana kabisa wakawa wameishi maisha ya tabu sana MONUSCO kwa sababu maalumum,

MONUSCO wenyewe ni wanufaika wa hivyo vita ,ni wazi waliwapa huduma mbovu kisha wakaweka nafasi ya wao kwenda kujisalimisha m23 ili tu ngwasuma iendelelee,..

Mbaya zaidi watu wamepewa matibabu,posho, mishahara imepanda hapo mtu ni mateka akijiunga nao je?

Haya uongozi wa jeshi la Congo nao ulikua wapi kuwanusuru askari wake?

FARDC molari iko chini vibaya vibaya dah mpaka huruma msaada mkubwa ni kutoka kwa warundi sasa
Najiuliza kwa nini Tanzania tumeamua kukaa pembeni tukimuacha Kagame achukue DRC.

Ni kwamba hatuwezi kunufaika tukiingilia kati, au Kagame ana jeshi imara sana tunamuogopa?
CONGO PUMBAVU KABISA.
RWANDA INAINGIA MALA 90 KWA UKUBWA WA CONGO.

INAPIGWA NA KANCHI KADOGO HIVYO???

SHENZI KABISA
 
Baada ya wiki mbili, kufuatia vita vya serikali ya DRC na kundi la waasi la M23, wanajeshi wa FARDC, waliokuwa wamekimbilia kwenye kambi ya MONUSCO, wameamua kutoka na kujipeleka kwenye kambi ya jeshi ya M23 ili iamue yenyewe hatma ya maisha yao.

Hili limetokana na maisha magumu waliokuwa wakipitia wakiwa huko kwenye kambi ya MONUSCO. Huduma za mhiumu ikiwemo maji na chakula, vimekuwa changamoto kubwa kwao, huku serikali na yenyewe ikikaa kimya, jambo waliloona kama kutelekezwa, na kuamua kujisalimisha.

Awali, waliojisalimisha, walipelekwa kambi ya jeshi ya Katindo,walihudumiwa,na wenyewe kukili hawakutegemea wangepokelewa vizuri.

Badae walipelekwa kambi ya Rumangabo, kwa ajili ya masomo maalumu, baada ya hapo watakaokuwa na nia ya kuendelea na jeshi na kukizi vigezo, watapewa mafunzo ya kijeshi yatakayowawezesha kujiunga na jeshi hilo.

Watakaojisikia kupumzika na wale waliotupwa na umri, watawezeshwa kurudi uraiani. Kwa mjibu wa uongozi wa AFC/M23, wanajeshi hao licha ya kukamatwa na kuwa chini ya ulinzi wa M23, mishahara yao watalipwa kama kawaida.
Kama habari hii itakuwa ni ya kweli, basi hao wafungwa wa kivita watakuwa ni wa kwanza duniani kutendewa ukarimu wa namna hiyo wakiwa mikononi mwa adui!
 
Sidhani kama itakuwa shida, maana hata wenzao waliokamatwa,walishapelekwa kwenye mafunzo upya bila kuwadhulu.
Pia, M23 ni ngeni hapo. Lazima ifanye kila inaloliweza kuungwa mkono. Ikijichanganya raia wakailalamikia, imeisha hivo. Kumbuka, bila raia,huwezi fika popote. Watu wanabalance, wapi pana ahueni. Pia, ni yale yale. Hao wangetokaje humo? Japo pia kama UN isingekuwa na imani na usalama wao, pengine wangeongea na serikali. Ila sasa, kwa serikali ya DRC, hao tayari ni wasaliti. Wenzao huko Kivu kusini wanahukumiwa, unadhani nani alikuwa tayari kuyakabili mashitaka hayo! Kiapo cha jeshi ni kukabidhi nchi yako maisha. Bora ufe kuliko kuigawa mikononi mwa adui. Ambacho ndo walikifanya. Hivi, kwa material serikali ile ilizopoteza, nani wa kujali mwanajeshi huyo? Na MONUSCO ujue ina balance. Japo na yenyewe mpaka sasa haijui hatma yake. Sasa hivi operations zake ni kama kuzurura tu mjini. Kama kuna sehemu hawaruhusiwi kwenda, unategemea nini? KAma na wao walikuwa wezi wa madini, sasa hivi hakuna kinachopatikana, unategemea nini!!! Mzungu mtu mnafiki sana. Leo hii wanalia kwamba watu wana hali mbaya na hawana msaada. Lakini,kabla ya hapo, hiyo misaada pia haikuwa inawafikia walengwa. Na wao wapo kimasrahi zaidi.
 
Mwanajeshi wa Congo sawa na Wazalomo kweli kabisa yani wadai maji akuna chakula akuna misitu yote ile uyu Mwajash kweli au mcheza Boringo ata Waanzabe wetu Wanaishi kwa matunda lkn Mjesh wa Congo anataka Mkate chai asubui maji Safi!!!!! Ndio mana ichi kadhaa Wanagawana ile nchi!!!! Akili ya Vita awana!!
Lakini Hicho Kiswahili 👆 👆Duh! labda kimeandikwa na mbeba AK 47 wa huko-huko.
 
Kama habari hii itakuwa ni ya kweli, basi hao wafungwa wa kivita watakuwa ni wa kwanza duniani kutendewa ukarimu wa namna hiyo wakiwa mikononi mwa adui!
Kabisa. Ni ajabu eti POW analipwa mshahara badala ya kuwa interrogated.
 
Baada ya wiki mbili, kufuatia vita vya serikali ya DRC na kundi la waasi la M23, wanajeshi wa FARDC, waliokuwa wamekimbilia kwenye kambi ya MONUSCO, wameamua kutoka na kujipeleka kwenye kambi ya jeshi ya M23 ili iamue yenyewe hatma ya maisha yao.

Hili limetokana na maisha magumu waliokuwa wakipitia wakiwa huko kwenye kambi ya MONUSCO. Huduma za mhiumu ikiwemo maji na chakula, vimekuwa changamoto kubwa kwao, huku serikali na yenyewe ikikaa kimya, jambo waliloona kama kutelekezwa, na kuamua kujisalimisha.

Awali, waliojisalimisha, walipelekwa kambi ya jeshi ya Katindo,walihudumiwa,na wenyewe kukili hawakutegemea wangepokelewa vizuri.

Badae walipelekwa kambi ya Rumangabo, kwa ajili ya masomo maalumu, baada ya hapo watakaokuwa na nia ya kuendelea na jeshi na kukizi vigezo, watapewa mafunzo ya kijeshi yatakayowawezesha kujiunga na jeshi hilo.

Watakaojisikia kupumzika na wale waliotupwa na umri, watawezeshwa kurudi uraiani. Kwa mjibu wa uongozi wa AFC/M23, wanajeshi hao licha ya kukamatwa na kuwa chini ya ulinzi wa M23, mishahara yao watalipwa kama kawaida.
Hakuna kitu hii ni propaganda ya wanyaruanda
 
CONGO wamejikita zaid kwenye burdan sio mivita Vita ndio na ndugu zetu awa Wazaramo nao burdaan ndio

Wanachopenda sio VITA mwanajesh analalamika njaaa vitani ichi yenyewe ni ile sio jangwa ichi ni kijani Kibichi misitu imejaa kila matunda Wanyama ndege mimea!!!
alafu ety mwanajesh analalamika njaa!!! Awa ni Wasaliti wa Ardhi ya Congo na rasilimali zake. Awapaswi kuchekewa !!!

Ili ia kupigana n vikundi vingi sio msingi w kuacha Miji yako kama Kivu na Goma!!!! Ichi ikikosa rasilimali Watu wenye uzalendo ndio Tatizo kuu linaisumbua Jamhuri ya Congo,,
 
1000356652.jpg
 
Jeshi soft duniani n jeshi la Congo wanashindwa ata na mgambo hamas wako mashimoni kama panya ila hawakusarenda
 
Back
Top Bottom