GOMA: Wanajeshi wa FARDC waamua kujisalimisha kwenye kambi ya jeshi ya M23

jaman mnalaumu jeshi la DRC ,linalopigana na vikundi vya kiasi zaid ya 100 ilihali jeshi lenu limewashindwa panyaroad wasio na silaha , DRC ipewe pongez mpk hapo ilipo
Mara ya mwisho lini kusikia ripoti ya panya road Tanzania?
 
Duh!...,hii kali...
 
Haya fursa ndio hii sasa kwenda kuungana na M23 😀 Ajira nje nje
 
Mibunge ya DRC inalamba 21000 US dollars kwa mwezi huku hao FARDC wapiganaji wanalipwa 107 US dollars, kwa hali hiyo wanapataje morale ya kupigana?
 
Najiuliza kwa nini Tanzania tumeamua kukaa pembeni tukimuacha Kagame achukue DRC.

Ni kwamba hatuwezi kunufaika tukiingilia kati, au Kagame ana jeshi imara sana tunamuogopa?
CONGO PUMBAVU KABISA.
RWANDA INAINGIA MALA 90 KWA UKUBWA WA CONGO.

INAPIGWA NA KANCHI KADOGO HIVYO???

SHENZI KABISA
 
Kama habari hii itakuwa ni ya kweli, basi hao wafungwa wa kivita watakuwa ni wa kwanza duniani kutendewa ukarimu wa namna hiyo wakiwa mikononi mwa adui!
 
Kama habari hii itakuwa ni ya kweli, basi hao wafungwa wa kivita watakuwa ni wa kwanza duniani kutendewa ukarimu wa namna hiyo wakiwa mikononi mwa adui!
Sidhani kama itakuwa shida, maana hata wenzao waliokamatwa,walishapelekwa kwenye mafunzo upya bila kuwadhulu.
Pia, M23 ni ngeni hapo. Lazima ifanye kila inaloliweza kuungwa mkono. Ikijichanganya raia wakailalamikia, imeisha hivo. Kumbuka, bila raia,huwezi fika popote. Watu wanabalance, wapi pana ahueni. Pia, ni yale yale. Hao wangetokaje humo? Japo pia kama UN isingekuwa na imani na usalama wao, pengine wangeongea na serikali. Ila sasa, kwa serikali ya DRC, hao tayari ni wasaliti. Wenzao huko Kivu kusini wanahukumiwa, unadhani nani alikuwa tayari kuyakabili mashitaka hayo! Kiapo cha jeshi ni kukabidhi nchi yako maisha. Bora ufe kuliko kuigawa mikononi mwa adui. Ambacho ndo walikifanya. Hivi, kwa material serikali ile ilizopoteza, nani wa kujali mwanajeshi huyo? Na MONUSCO ujue ina balance. Japo na yenyewe mpaka sasa haijui hatma yake. Sasa hivi operations zake ni kama kuzurura tu mjini. Kama kuna sehemu hawaruhusiwi kwenda, unategemea nini? KAma na wao walikuwa wezi wa madini, sasa hivi hakuna kinachopatikana, unategemea nini!!! Mzungu mtu mnafiki sana. Leo hii wanalia kwamba watu wana hali mbaya na hawana msaada. Lakini,kabla ya hapo, hiyo misaada pia haikuwa inawafikia walengwa. Na wao wapo kimasrahi zaidi.
 
Lakini Hicho Kiswahili 👆 👆Duh! labda kimeandikwa na mbeba AK 47 wa huko-huko.
 
Kama habari hii itakuwa ni ya kweli, basi hao wafungwa wa kivita watakuwa ni wa kwanza duniani kutendewa ukarimu wa namna hiyo wakiwa mikononi mwa adui!
Kabisa. Ni ajabu eti POW analipwa mshahara badala ya kuwa interrogated.
 
Hakuna kitu hii ni propaganda ya wanyaruanda
 
CONGO wamejikita zaid kwenye burdan sio mivita Vita ndio na ndugu zetu awa Wazaramo nao burdaan ndio

Wanachopenda sio VITA mwanajesh analalamika njaaa vitani ichi yenyewe ni ile sio jangwa ichi ni kijani Kibichi misitu imejaa kila matunda Wanyama ndege mimea!!!
alafu ety mwanajesh analalamika njaa!!! Awa ni Wasaliti wa Ardhi ya Congo na rasilimali zake. Awapaswi kuchekewa !!!

Ili ia kupigana n vikundi vingi sio msingi w kuacha Miji yako kama Kivu na Goma!!!! Ichi ikikosa rasilimali Watu wenye uzalendo ndio Tatizo kuu linaisumbua Jamhuri ya Congo,,
 
Jeshi soft duniani n jeshi la Congo wanashindwa ata na mgambo hamas wako mashimoni kama panya ila hawakusarenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…