Gombo la mboto watu wanakufa nyie mnapiga story za mapenzi

Swali zuri kwa CCM na Kikwete, na si kwa wana MMU. Sisi tunapiga story za mapenzi ili kusahau matatizo yetu. By the way, wapo watu wankufa kila dakika kwa kukosa pesa ya kununulia dose ya malaria, wewe umeona la mabomu tu?
 
Poleni sana Watanzania wenzangu mnaoishi Gongolamboto tuombe Mungu aendelee kutunusuru na tuwahifadhi wenzetu salama salmini halafu ndio tukae na Serikali tutathimini hatima ya maisha yetu ya baadae.

GOD PLEASE BE WITH US US.:angry:
 
Gongo la Mboto ni check and balance of population ya Mwenyezi Mungu, kumbuka hii website iko wazi dunia nzima. Achilia mbali story za mapenzi hata majambos yanafanyika saa hizi au? Kufa kufaana and business should continue as usual, pole!!!
 
nchi huru, na JF people dare to talk openly.....wewe ukijisikia kuongelea mabomu, ongelea......labda wenzako wanaona imeshakuwa kawaida......waache waongelee kitu roho inapenda.....sio kwa sababu mtu hatoi chozi, basi maana yake halii rohoni.
 
Tafadhali nitake radhi upesi sana Smati!!!
 
sasa tuache kubanjuana kwasababu watu wamekufa? wewe small thinker kweli aisee. hivi kuna siku ambayo watu hawafariki hapa TZ?. onesha huruma lakini acha maisha yaendelee kijana. shukuru sana mimi sio mod, ungekula ban wewe na jirani zako kwa kuleta sredi ya kizembe kama hii
 

Kazi kweli kweli.....ndo maana u-MOD hutakaa uupate,manake JF yaweza fungwa....l.o.l
 
Maisha yanaendelea kama kawa sio kwamba hatujali ila mambo mengine lazima yaendelee
 
so we stop the talk and the damn thing turn back the clock.....

grow up dude, things gotta happen.... they do happen actually, painful and grim but yeah they do

poleni wapendwa wa gongs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…