Gomes hukuja ili ukae Jukwaani michuano ya CAF

tatamajuva

Member
Joined
Sep 11, 2019
Posts
74
Reaction score
84
Kocha mkuu wa Simba sc Didier Gomes ni wakati muafaka wa kuondoka Simba sc kwani hujaletwa kwa ajili ya kukaa jukwaani na ligi kuu. Gomes na matola ni wakati wa kuondoka Simba, kwani Hana sifa.
 
Kocha mkuu wa Simba sc Didier Gomes ni wakati muafaka wa kuondoka Simba sc kwani hujaletwa kwa ajili ya kukaa jukwaani na ligi kuu.Gomes na matola ni wakti wa kuondoka Simba , kwani Hana sifa.
Nyie si mnaokota okota walimu
 
TFF iwawajibishe yanga kwa kuwahonga waswana hadi wamepindua meza Ili Hali kwao walichapwa 2-0

Yanga iliwahonga biashara pia Hadi wakawavunja miguu wachezaji wa simba
 
TFF iwawajibishe yanga kwa kuwahonga waswana hadi wamepindua meza Ili Hali kwao walichapwa 2-0

Yanga iliwahonga biashara pia Hadi wakawavunja miguu wachezaji wa simba
Galaxy waliweka kikosi cha simba mezani cha tar 17 wakakisomaaa baada ya hapo wanaingia uwanjani leo kuhamaki kikosi kile kile kinarejea.

Wakacheeeka wakawahadaa kwa maneno et hawana cha kupoteza washakubali nguvu zao wanazielekeza ligi ya yao.

Huku tukaanza kuoneshwa biriani na akina Morrison wakitambaa juu ya mpira. Nkacheka sana. Dakk ya 46, chuma kinalia, 58 kingine, wanamaliza kazi dakk ya 85 zikiwa zimebaki 5. Wanarudi nyuma wanakaba na kushambulia huku kipa akipoza mchezo.

Kmmk jamaa wajanja sana wale.
 
Mume kafa na ukimwi Mke hawezi akabaki hai.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…