tatamajuva
Member
- Sep 11, 2019
- 74
- 84
Kocha mkuu wa Simba sc Didier Gomes ni wakati muafaka wa kuondoka Simba sc kwani hujaletwa kwa ajili ya kukaa jukwaani na ligi kuu. Gomes na matola ni wakati wa kuondoka Simba, kwani Hana sifa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie si mnaokota okota walimuKocha mkuu wa Simba sc Didier Gomes ni wakati muafaka wa kuondoka Simba sc kwani hujaletwa kwa ajili ya kukaa jukwaani na ligi kuu.Gomes na matola ni wakti wa kuondoka Simba , kwani Hana sifa.
Mlimchukuaje wakati MNAJUA hana cheti? Na bado, Polisi wanawasubiri.Kocha mkuu wa Simba sc Didier Gomes ni wakati muafaka wa kuondoka Simba sc kwani hujaletwa kwa ajili ya kukaa jukwaani na ligi kuu.Gomes na matola ni wakti wa kuondoka Simba , kwani Hana sifa.
Galaxy waliweka kikosi cha simba mezani cha tar 17 wakakisomaaa baada ya hapo wanaingia uwanjani leo kuhamaki kikosi kile kile kinarejea.TFF iwawajibishe yanga kwa kuwahonga waswana hadi wamepindua meza Ili Hali kwao walichapwa 2-0
Yanga iliwahonga biashara pia Hadi wakawavunja miguu wachezaji wa simba
Mume kafa na ukimwi Mke hawezi akabaki hai.Galaxy waliweka kikosi cha simba mezani cha tar 17 wakakisomaaa baada ya hapo wanaingia uwanjani leo kuhamaki kikosi kile kile kinarejea.
Wakacheeeka wakawahadaa kwa maneno et hawana cha kupoteza washakubali nguvu zao wanazielekeza ligi ya yao.
Huku tukaanza kuoneshwa biriani na akina Morrison wakitambaa juu ya mpira. Nkacheka sana. Dakk ya 46, chuma kinalia, 58 kingine, wanamaliza kazi dakk ya 85 zikiwa zimebaki 5. Wanarudi nyuma wanakaba na kushambulia huku kipa akipoza mchezo.
Kmmk jamaa wajanja sana wale.