donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Mi nakumbuka kuwinda mabalale na vindege....nilikuwa na topito hiyo nimeichanjia ndele...kwenye kipago nimepakaza damu ya kindege ili iwe na shabaha...
Hahah ukiweka damu kwenye kipago unaamini eti manati yako itakua inaua sana. Ulikua unatumia mipira gani? Janja au poto?
Hayo majina mi siyajui ila tulikuwa tunatumia mipira fulani ya hospitali huwa inatumika kulishia wagonjwa mahututi....rangi yake kama raba bendi