Kwa hiyo kifo si mpango wa Mungu mkuu?..........Hata mtu anapozeeka na kufikia ukomo bado ni mpango wa shetani? Hili ni fumbo la imani aisee.........ni kweli kifo asili yake ni ule uasi pale Edeni, na Siyo kwamba Mungu anamuacha shetani laa hasha kwani hukumu yake naye ni ile siku ya mwisho!!
Kwa hiyo kifo si mpango wa Mungu mkuu?..........Hata mtu anapozeeka na kufikia ukomo bado ni mpango wa shetani? Hili ni fumbo la imani aisee.....

Ng'ang'ana sana kwenye maombi na BWANA atakuokoa kwani KIFO si mpango wake ni mpango wa yule mwovu, Shetani.

Samahani sijakuelewa vizuri hapo'naomba ufafanue
Lakini mkuu, mbona hata wanyama ambao shetani hana time nao nao wanakufa? Mbona mimea pia inafikia ukomo?Mkuu;
....ni mpango wa shetani,
....hivi ukomo wa maisha ya bnadam ni miaka mingapi? kumbuka hapo mwanzo watu waliishi hadi miaka 900 na usheee,
Anyway ni fumbo la imani kwa njia moja au nyingine!!