Gonga Ugongwe

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,252
*Baada ya ofa ya Jaza ujazwe ya Tigo nimeona na Mimi nije na ya kwangu kwenye mlango wangu wa ghetto nimeandika Gonga ugongwe naona usumbufu wa mama mwenye NYUMBA umepungua*
 
*Baada ya ofa ya Jaza ujazwe ya Tigo nimeona na Mimi nije na ya kwangu kwenye mlango wangu wa ghetto nimeandika Gonga ugongwe naona usumbufu wa mama mwenye NYUMBA umepungua*
Umeandika mlangoni au umeweka bango tu?? Angalia usije pewa notice kuchafua mlango wa bosi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…