Mhhh nimeisikia THANKS hadi moyoni hahahahah! unaonaje ukigonga nyingi nyingi? By the way Utamu wa Gongo muulize hata Mh Waziri Mkuu wa zamani Jaji Joseph Warioba ama Raisi wa zamani wa Zanzibar Alhaji Amani Karume!
Nimegundua si moyo tu na vitu vingine! hahahahaha
Hahhahahahaha....wala siulizi!!!
Ngoja nikuongezee nyingine.....labda ntapata ofa ya gongo!!!lolz
Jukwaa kwanza haliruhusu unaweza pata BAN bure! Mchungaji akakukosa kwenye ibada
Thanks for a chat nahisi kulewa sasa! Ngoja nipige lapa niishie nisave hela ya sikukuu.....kabla sijaondoka hebu nidondoshee PM nina kuahidi fanta ya gongo
Jamani gongo ipi nzuri! Kigoma, Mwanza na Shinyanga wanatengeneza za mihogo! Kagera wao wanatengeneza za Ndizi. Wale wa mkoa wa Mara wanatengeneza gongo la mapapai na mavi! Morogoro wao wanapika gongo la miwa AMA sukari guru ! Pwani wao gongo Lao la mananasi. Nimejaribu zote ila gongo la Mwanza nililipenda sana kule kwenye vilima vya Bugando!
ya mapapai na mavi inakufanya chini uwe mzima kinoma
Ndo maana demu akipata jamaa wa kutoka mara hamwachii
Nu kwa ajili ya shughuli anayompa:A S-alert1:
Maeneo ya Igogo mkuu, wa chini unamwona tu, manjagu hawapandi ovyo kule! kuna mama mmoja nimesahau jina lake, anatengeneza gongo la ukweli sana! Na pale chini wanaita Butimba - ziwani kabisa kwenye maji ndy viwanda vipo kibao! teh teh-Ukizoea gongo Konyagi haipandi! Muulize Mzee F. Sumaye anazijua kona zote mpaka Luchelele, ila yeye alikuwa anapenda sana Mataptap.
Moshi wanaita Piwa( Pure) au Chang'aa, Mitambo Mingi ya Gongo kwa Moshi Iko Njoro wenyewe wanaita Msitu wa Njoro, Gongo ya Moshi inatengenezwa na Molasisi ambayo ni makabi ya Miwa kutoka kiwanda cha Sukari cha TPC, lakini kwa kuinogesha huwa wanachanganya na Mavi, Mikojo nasikia na Mapapai yaliyooza. Muulize Mzee wa Kiraracha juzi kafukuza Mwenyekiti wa Kijiji kwa Kunywa Piwa
Ila nashangaa sana pamoja na tofauti ya material ya Kutengenezea Gongo lakini hii kitu Harufu yake inafanana sana
Hahahah umenikumbusha pyuwa! Kule Marangu watengenezaji wapo kule mtoni karibu na kwa Mzee Macha. Gongo la mihongo halina harufu mazee. Basically gongo ni zao la fermentation of carbohydrate followed by distillation process! Rangi ya gongo hufanana Konyagi haioni ndani
Umewahi kuionja ya kwetu Mtwara? Inatengenezwa kwa mabibo yaliyokaushwa. Ukiipata pure ina super spirit kiasi kwamba kwenye shoda ya mafuta ya taa tunaitumia kwenye vibatariJamani gongo ipi nzuri! Kigoma, Mwanza na Shinyanga wanatengeneza za mihogo! Kagera wao wanatengeneza za Ndizi. Wale wa mkoa wa Mara wanatengeneza gongo la mapapai na mavi! Morogoro wao wanapika gongo la miwa AMA sukari guru ! Pwani wao gongo Lao la mananasi. Nimejaribu zote ila gongo la Mwanza nililipenda sana kule kwenye vilima vya Bugando!
Mchungaji umenikumbusha kitu.Kule Kagera na kwingine kote gongo ni pome haramu na ;polisi wanawasaka wauzaji na watumiaji lakini waganda wanainunua kwa jumla kutoka kagera na kuipeleka uganda kwa siri na kuipaki kwenye vifuko fulani na kuirejesha kagera kama pombe halali .inaitwa walagi,empire nk.Hii ikoje mchungaji
I have never tried Gongo ila harufu yake naipenda sana, Wanywaji Gongo wengi huwa wanakunja sura wakati wa kumeza Gongo, hii hali kwa muda mrefu huwa inawafanya sura zao zimekunjika na midomo kuungua. Dah Ila Gongo Kiboko maana Mapolisi wengi wa Moshi ni Wanywa Piwa