Umewahi kuionja ya kwetu Mtwara? Inatengenezwa kwa mabibo yaliyokaushwa. Ukiipata pure ina super spirit kiasi kwamba kwenye shoda ya mafuta ya taa tunaitumia kwenye vibatari
Mchungaji umenikumbusha kitu.Kule Kagera na kwingine kote gongo ni pome haramu na ;polisi wanawasaka wauzaji na watumiaji lakini waganda wanainunua kwa jumla kutoka kagera na kuipeleka uganda kwa siri na kuipaki kwenye vifuko fulani na kuirejesha kagera kama pombe halali .inaitwa walagi,empire nk.Hii ikoje mchungaji
Kule Bugarika hata Polisi huwa hawatii timu!
Kama hupati supu! na usipofuata ushauri wa mama muuza
Umewahi kuionja ya kwetu Mtwara? Inatengenezwa kwa mabibo yaliyokaushwa. Ukiipata pure ina super spirit kiasi kwamba kwenye shoda ya mafuta ya taa tunaitumia kwenye vibatari
Ni URAKA na si ULAKA.hiyo ya mtwara inaitwa ulaka bwana.
ndio pombe yao kuu,wakitafunia na ming'oko utawataka
Jamani gongo ipi nzuri! Kigoma, Mwanza na Shinyanga wanatengeneza za mihogo! Kagera wao wanatengeneza za Ndizi. Wale wa mkoa wa Mara wanatengeneza gongo la mapapai na mavi! Morogoro wao wanapika gongo la miwa AMA sukari guru ! Pwani wao gongo Lao la mananasi. Nimejaribu zote ila gongo la Mwanza nililipenda sana kule kwenye vilima vya Bugando!
Ni URAKA na si ULAKA.
Uraka unatengenezwa kutokana na mabibo mabicho ambayo yanaanguka kutoka kwenye mkorosho na yanakamuliwa kupata ile juice ambayo after fermentation ndio inakuwa pombe.
Lakini hayo mabibo yakiachwa bila kukamuliwa, yakiwekwa juani na kukauka, unapata kitu inaitwa (kwa lugha za huko kwetu) kochoko. Hii ndo inatengenezwa first class gongo ambayo mchungaji inaweza kumfanya arudi kinyumenyume akiijaribu kwa pupa
si hatari hiyo,
gongo ni mbaya sana jamani,yaani unakuta mtu kavimba tumbo na miguu na mashavu hapo figo zishafail.
kweli ibilisi anajua kuwatesa watu wa Mungu,halafu sasa wakinywa wanakunja sura halafu ikipita kooni unasikia jinsi anavyogugumia kwa maumivu.
Hivi mtu anakunywa ili alewe au aenjoy coz sielewei kinachosababisha mtu ateseke hivi.
si hatari hiyo,
gongo ni mbaya sana jamani,yaani unakuta mtu kavimba tumbo na miguu na mashavu hapo figo zishafail.
kweli ibilisi anajua kuwatesa watu wa Mungu,halafu sasa wakinywa wanakunja sura halafu ikipita kooni unasikia jinsi anavyogugumia kwa maumivu.
Hivi mtu anakunywa ili alewe au
coz sielewei kinachosababisha mtu ateseke hivi.
ya mapapai na mavi!!
Wewe Cheusi hujui utamu wa Gongo!
Mimi nlidhani ni kule kijijini tu watu wanapenda coz hawana pesa ya kununua bia!Kama vipi fanyeni mpango ihalalishwe maana inaonekana inapendwa sana!!
Mimi nlidhani ni kule kijijini tu watu wanapenda coz hawana pesa ya kununua bia!Kama vipi fanyeni mpango ihalalishwe maana inaonekana inapendwa sana!!