Gonjwa gani hili

Gonjwa gani hili

Yegoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2012
Posts
1,432
Reaction score
508
Wanajf doctors, nina rafiki yangu ana ugonjwa ambao nyakati za usku akiwa amelala! Anakoroma kwa nguvu huku anapikicha sikio na pua,alafu ukimstua anastuka na ukimuuliza anakuwa hajui kilichokuwa kinaendelea!! Kwa kweli anaogopesha! Mwenye utaalamu!ushauri
 
sahamani ila kiukweli nimecheka.mzizi mkavu uje usaidie huku.maybe awe anaomba kabla ya kulala
 
Mi ninarafiki yangu akipiga mswaki anapiga kelele utadhani anakata roho! Yaani huwezi ku imagine hiyo sauti na huwa anajifungia bafuni lakini sauti inatoka utadhani yupo pembeni yako! Dah! Niambieni Hii ni tabia au ugonjwa?
 
Nasikia pia hawa wakoromaji wana jamba sana pyuuuuuuu!!!...
 
Mkuu Yegoo Mwambie huyo Rafiki yako au kama ni wewe mwenyewe ila unaogopa kusema ukweli Fanya hivi:Tumia Dawa hii itakusaidia:> Fungua mdomo wako mpaka mwisho, toa ulimi na usukume nje mpaka mwisho,rudisha ulimi ndani mpaka mwisho-rudia mara 20. Ukimaliza utahisi kuna misuli nyuma

na pembeni ya koo umeifanyisha kazi,sasa misuli hii ikilegea ndio inayosababisha kukoroma. Fanya zoezi hili mara 2 mpaka 3 kwa siku na tatizo hili litaisha baada ya siku 10-20 kutegemea mtu hadi mtu.tumia kisha unipe feedback.
 
Mi ninarafiki yangu akipiga mswaki anapiga kelele utadhani anakata roho! Yaani huwezi ku imagine hiyo sauti na huwa anajifungia bafuni lakini sauti inatoka utadhani yupo pembeni yako! Dah! Niambieni Hii ni tabia au ugonjwa?
labda anapiga kitu kingine siyo mswaki. huwa anaingia bafuni na sabuni?
 
Hii ya kupekecha sikio nadhani anakuwa anawashwa sikioni, niliwahi ona tabia hii kwa baadhi ya wanafunzi wakati nipo boarding!
Wanajf doctors, nina rafiki yangu ana ugonjwa ambao nyakati za usku akiwa amelala! Anakoroma kwa nguvu huku anapikicha sikio na pua,alafu ukimstua anastuka na ukimuuliza anakuwa hajui kilichokuwa kinaendelea!! Kwa kweli anaogopesha! Mwenye utaalamu!ushauri
 
Wanajf doctors, nina rafiki yangu ana ugonjwa ambao nyakati za usku akiwa amelala! Anakoroma kwa nguvu huku anapikicha sikio na pua,alafu ukimstua anastuka na ukimuuliza anakuwa hajui kilichokuwa kinaendelea!! Kwa kweli anaogopesha! Mwenye utaalamu!ushauri

apunguze kula kiti moto, kabla ya kufuatilia mambo mengine
 
Back
Top Bottom