Yegoo
JF-Expert Member
- Nov 14, 2012
- 1,432
- 508
Wanajf doctors, nina rafiki yangu ana ugonjwa ambao nyakati za usku akiwa amelala! Anakoroma kwa nguvu huku anapikicha sikio na pua,alafu ukimstua anastuka na ukimuuliza anakuwa hajui kilichokuwa kinaendelea!! Kwa kweli anaogopesha! Mwenye utaalamu!ushauri