Kiranja Mkuu JF-Expert Member Joined Feb 18, 2010 Posts 4,219 Reaction score 4,608 Jul 22, 2010 #1 Ugonjwa mpya unaofanana na UKIMWI, wenye kuua kwa haraka umeikumba china. Ugonjwa huo husambazwa na majimaji ya mwilini. Wachimba chumvi, wazee wa madenda na madekio kazi kwenu.
Ugonjwa mpya unaofanana na UKIMWI, wenye kuua kwa haraka umeikumba china. Ugonjwa huo husambazwa na majimaji ya mwilini. Wachimba chumvi, wazee wa madenda na madekio kazi kwenu.
FirstLady1 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 16,789 Reaction score 5,401 Jul 22, 2010 #2 Mungu wataalam wanatangaza wamekaribia kufanikiwa kupata dawa lingine linaibuka:A S-danger:
Kiranja Mkuu JF-Expert Member Joined Feb 18, 2010 Posts 4,219 Reaction score 4,608 Jul 22, 2010 Thread starter #3 Mrudieni Muumba wenu, vinginevyo mtakufa kama mchwa kwenye frying pan:scared:
B Bawa mwamba JF-Expert Member Joined Mar 19, 2010 Posts 350 Reaction score 32 Jul 22, 2010 #4 ukibisha bofya hapa. hatuuoni mbona ,na hata hiyo EPIDEMIA SIJAISIKIA IKITANGAZWA,..NAOMBA WEKA LINK AU HABARI YENYEWE
ukibisha bofya hapa. hatuuoni mbona ,na hata hiyo EPIDEMIA SIJAISIKIA IKITANGAZWA,..NAOMBA WEKA LINK AU HABARI YENYEWE
TANMO JF-Expert Member Joined Apr 12, 2008 Posts 11,763 Reaction score 11,873 Jul 23, 2010 #5 Kiranja Mkuu said: Mrudieni Muumba wenu, vinginevyo mtakufa kama mchwa kwenye frying pan:scared: Click to expand... Kwani wewe hutakufa au?
Kiranja Mkuu said: Mrudieni Muumba wenu, vinginevyo mtakufa kama mchwa kwenye frying pan:scared: Click to expand... Kwani wewe hutakufa au?
Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 8,635 Reaction score 2,205 Jul 23, 2010 #6 tatizo jamaa nao wanakula kitu duniani bila kujali chochote.