Gonjwa la kutisha laikumba China

Gonjwa la kutisha laikumba China

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2010
Posts
4,219
Reaction score
4,608
Ugonjwa mpya unaofanana na UKIMWI, wenye kuua kwa haraka umeikumba china.

Ugonjwa huo husambazwa na majimaji ya mwilini.
Wachimba chumvi, wazee wa madenda na madekio kazi kwenu.
 
Mungu wataalam wanatangaza wamekaribia kufanikiwa kupata dawa lingine linaibuka:A S-danger:
 
Mrudieni Muumba wenu, vinginevyo mtakufa kama mchwa kwenye frying pan:scared:
 
Back
Top Bottom