Gonjwa linalomaliza vijana tu.........ikoje?

Gonjwa linalomaliza vijana tu.........ikoje?

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
219,468
Reaction score
911,184
[h=1]As Mystery Illness Stalks Its Young, India Intensifies Search for a Killer[/h]
bull-outbreak1-articleLarge.jpg
Kuni Takahashi for The New York Times
Dr. Mohan Kumar checked on a patient at Sri Krishna Medical College Hospital in Muzaffarpur, India.

[h=6]By GARDINER HARRIS[/h] [h=6]Published
: July 13, 2013[/h][/QUOTE]

Kwa kifupi unavimbisha ubongo wa watoto na vijana tu na kuua kila msimu ila mvua za Moonson zikija hupotea baada ya kuwaachia maumivu wahindi.
 
Bahati mbaya au nzuri, mie ujana nimeshauaga zamaani..

... Just for interest.. Hizi ndio hizo hospitali tunazokimbilia? Ndani ya container? Au ni ukosefu wa rangi tu?
 
Hii dunia inakoenda sasa siko twaitaji sala zaidi
UKo India si ndo ambako kuna sherehe kabisa za kubakana RAPE DAY
 
Bahati mbaya au nzuri, mie ujana nimeshauaga zamaani..

... Just for interest.. Hizi ndio hizo hospitali tunazokimbilia? Ndani ya container? Au ni ukosefu wa rangi tu?
Mkuu, hata kama ujana umekupita lakini nid hahiri kuwa utakuwa na mtu unayehusiana naye kwa namna moja au nyingine ambaye yupo kwenye umri huo....
na pia, hiyo hospitali kuwa kwenye container, kwanz nadhani si hizi ambazo watu wetu wanakwenda kutibiwa, na pia nadhani kilicho muhimu hapo hospitali ni vifaa na wataalamu na mazingira mazuri ya kutoa tiba ambayo yanaweza kutengenezwa hata ndani ya container
 
: July 13, 2013[/h]

Kwa kifupi unavimbisha ubongo wa watoto na vijana tu na kuua kila msimu ila mvua za Moonson zikija hupotea baada ya kuwaachia maumivu wahindi.[/QUOTE]

nature's way of population control...should follow China's one child policy...might help with all that poverty, rats,street living people and offkoz diseases like these
 
Bahati mbaya au nzuri, mie ujana nimeshauaga zamaani..

... Just for interest.. Hizi ndio hizo hospitali tunazokimbilia? Ndani ya container? Au ni ukosefu wa rangi tu?

Huna watoto ndugu yangu............!!!!!!
 
Kwa kifupi unavimbisha ubongo wa watoto na vijana tu na kuua kila msimu ila mvua za Moonson zikija hupotea baada ya kuwaachia maumivu wahindi.

nature's way of population control...should follow China's one child policy...might help with all that poverty, rats,street living people and offkoz diseases like these[/QUOTE]

umenikumbusha malthusian population doctrine.
 
Kwa kifupi unavimbisha ubongo wa watoto na vijana tu na kuua kila msimu ila mvua za Moonson zikija hupotea baada ya kuwaachia maumivu wahindi.

nature's way of population control...should follow China's one child policy...might help with all that poverty, rats,street living people and offkoz diseases like these[/QUOTE]

NATURAL INTERVENTION IS A FACT BUT CHINA'S ONE CHILD POLICY HAS PROVEN A DISASTER
 
Nimeishia kuishangaa hiyo hospitali,
kwa hiyo wana wataalam na vifaa ila majengo ndo hayo.

third world in action. sifa ya nchi za wagagagigikoko ni kasi na ari mpya ya kukusanya kodi na wala siyo kuhudumia watu wake.
 
Back
Top Bottom