ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Dakika chache kuanzia Sasa ID hii ya ndege JOHN Inafungwa rasmi
Tukio la ku log out na kufuta app ya Jf nilitaka nilifanye Jana Ila mambo yakawa mengi baada ya pigo la gwajima kuingilia safari yangu ila leo Niko serious kabisa ninawaaga rasmi kwa kusema good bye.
17:38
Wed,may 8