Good bye Pepe

Good bye Pepe

Carasco Putin

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2022
Posts
10,644
Reaction score
32,375
Unalipi la kumkumbuka kitasa Pepe aliyetangaza kutundika daluga Leo
IMG_20240809_162120.jpg
IMG_20240809_162059.jpg
 
Vile alivokuwa anaipenda Ureno huwezi jua kama alikuwa Mbrazil wa kuzaliwa kabisa ila kukosa namba kukamfanya afanye juhudi za kupata uraia wa Ureno..
Atakumbukwa sana. Mastar wengi waliopita Madrid wanaheshimu kazi yake.
 
Hv alikosa namba au aliona kwa vipaji vilivyokuwepo brazil wakat huo ilikuwa ngumu kuonekana? ndo akaamua kwenda ureno akiwa ya hela ya ticket ya ndege ya kumpekeka ureno tu,
 
Nilipofika, nilikuwa na kiasi cha euro tano. Ilinibidi niende Ofisi ya Mambo ya Nje kwa kuwa nilitoka Brazili peke yangu na nilikuwa na umri wa miaka 18 tu. Nilipaswa kupokea faksi kutoka kwa Marítimo ili kunipa ruhusa ya kuingia Ureno. Kwa pesa pekee niliyokuwa nayo, ilinibidi ninunue kadi ya simu ili nimpigie Mama yangu ili kumwambia kuwa nilikuwa sawa. Chaguo jingine lingekuwa kununua kitu cha kula. Niliwaza: "Hapana, nitapiga simu nyumbani ili Mama yangu asiwe na wasiwasi," Pepe alieleza
 
Jamaa alikuwa mpambanaji sana

Nitamkumbuka kwa zile rafu kwenye mechi za el classico 🙌😃
 
Hv alikosa namba au aliona kwa vipaji vilivyokuwepo brazil wakat huo ilikuwa ngumu kuonekana? ndo akaamua kwenda ureno akiwa ya hela ya ticket ya ndege ya kumpekeka ureno tu,
Kwa maelezo ya Baba yake. PEPE. Kocha Dunga aliwasiliana nae kwa ajili ya kumweleza kuwa kulikuwa na dalili za yeye kuitwa kikosini ila Pepe aligomea akadai kuwa alikuwa anafuatilia issue yake ya kuhamia Portugal.
 
tushike lipi, alikosa namba au alikataa dalili za kuitwa kikosini kutoka kwa dunga?
 
Back
Top Bottom