Good job SGR

Huu mradi wa kuiigiza copy & paste toka China na Japan ni mgumu kweli kweli maana gharama yake kumlazimisha mkandarasi kuweka mbwembwe nyingii zisizo na lazima ili tu matarajio ya CCM Mpya kisiasa yatimie yanaifilisi nchi yetu Tanzania.

Kupitia video hii ya SGR reli Tanzania kulinganisha na mitandao ya reli za nchi zingine zenye uchumi mkubwa za Marekani ya Kaskazini, bara ulaya , Mashariki ya mbali China, Japan, Korea ya Kusini mpaka Oceania hapa CCM Mpya imeamua kutumia fedha nyingi bila ulazima wowote.

Tusubiri hii SGR reli Mpya itakayokuwa na urefu wa kilometa 1,200 kuona lini itakamilika na kama itaweza kuchochea makuzi ya kiuchumi na viwanda ndani ya Tanzania.

Maana tunaona ujenzi wa reli Mpya ukiendelea bila serikali kuanisha migodi mingapi ya makaa ya mawe ya Tanzania, viwanda vingapi vya ndani, mifugo ipi , mazao ya kilimo n.k itasafirishwa toka kona moja ya nchi yetu kwenda pembe nyingine ya Tanzania kuleta ajira rasmi nyingi za kuongeza thamani mazao, madini ya chuma pia upanuzi wa masoko ya ndani n.k
 
Hngera sana JPM, kazi safi sana hii, ama kwa kweli Afrika tumepata jembe.
 
Unapiga ramli mzee
 
Yaonekana kwamba wewe ni mtaalamu si tu wa usafirishaji (transportation) pia ni mwanauchumi. Kwa sababu hiyo ITAPENDEZA ukatoa maoni ni jinsi gani SGR itumike kuokoa fedha za mradi na kuleta tija na maendeleobm kwenye sekta ulixozitaja. Tofauti na hilo unavuvuzela tu lawama.

Tanzania kwanza
 
Subirini Chadema itawale muibe mali za umma. Ili mtajirike kupitia ufisadi.
Kwani saa hizi ziko salama? Rejea audit reports za CAG for 5 yrs.Unajua lengo la kuzuia Uhuru wa habari,miradi isiyo tija kiuchumi,kutaka kuuwa upinzani ili taarifa za wizi wa Kodi zao zisisikike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…