Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Chadema uelewa wenu ni mdogo sana. CAG huwa anaibua audit queries ambazo huhitaji kupatiwa majibu. Kama zikipata majibu hamna tatizo. Ndio maana mnag'ag'ania tril 1.5 wakati ilishapatiwa majibu na PAC. Sio kila hoja ya CAG ni ufisadi.Kwani saa hizi ziko salama? Rejea audit reports za CAG for 5 yrs.Unajua lengo la kuzuia Uhuru wa habari,miradi isiyo tija kiuchumi,kutaka kuuwa upinzani ili taarifa za wizi wa Kodi zao zisisikike
Kwann Sasa mikataba mingi ya manunuzi haiwekwi wazi Hali ni Kodi za wananchi.Kwann kila mwaka kuwe na audit Querres Hali tunajisifu kupambana na ufisadi,wizi na rushwa lkn hakuna uwazi kwenye uendeshajiChadema uelewa wenu ni mdogo sana. CAG huwa anaibua audit queries ambazo huhitaji kupatiwa majibu. Kama zikipata majibu hamna tatizo. Ndio maana mnag'ag'ania tril 1.5 wakati ilishapatiwa majibu na PAC. Sio kila hoja ya CAG ni ufisadi.
Ni wa baba wangapi wanashindwa kutimiza majukumu yao! Vipi na "huyo" baba ambaye hajajenga nyumba yake ya kuishi anabaki kuwa mpangaji daima wakati uwezo anao?Sijawahi kuona baba mwenye nyumba kutafuta credit kwamba ati anasomesha watoto, ananunua mahitaji yote ya nyumbani, anajenga nyumba na amenunua gari wakati haya ni majukumu yake ya kawaida kabisa.
Labda angepewa mchina mda mrefu Sana angeshamaliza kazi.Possible 5 yrs later hizi mega projects zitachukua miaka mingi Sana na ndizo zilikuwa tegemeo la kampeni kwa ccm kutokukamilika Hadi October sijui watakampenia nn,thus tegemeo pekee ni kutumia nguvu na kuanzisha ukawa yao na nccr,cuf na tlp ili kuhadaa jumuia za kimataifa.Halafu wanasema itakuwa tayari mwaka huu... Impossible
Ununuzi wa ndege,Chato airport kwa uchacheKama mikataba ipi? Orodhesha hapa.
Ulikuwa usikii kuwa kwa uwazi kabisa serikali imeingia mkataba na Airbus kununua ndege? Au kujenga uwanja wa ndege na mkandarasi. Ilifanywa kwa kificho? Au unakaririshwa?Ununuzi wa ndege,Chato airport kwa uchache
Maana Kodi zetu ni wajibu wetu kujua zinatumikaje japo hatushirikishwi juu ya upangaji wa matumizi yake.Lakini ni lazima tujue tuhoji zinatumikaje hata Kama mtatupiga risasi still ni wajibu wetu kujuaKama mikataba ipi? Orodhesha hapa.
Mbona CAG haruhusiwi kukagua tujue tumepata faida au hasara.Ulikuwa usikii kuwa kwa uwazi kabisa serikali imeingia mkataba na Airbus kununua ndege? Au kujenga uwanja wa ndege na mkandarasi. Ilifanywa kwa kificho? Au unakaririshwa?
Umewahi ona hio report tupe link to Google BasiMh una uhakika? Atcl haikaguliwi?
Kama kila kitu kipo wazi na ni haki yetu kujua.Kwann wasiojulikana Wana kazi gani?Nani akupige we bwege risasi? Kila kitu kipo wazi. Tatizo haufuatilii mambo tu.
Niko kijijini mpakani lkn ni haki yangu kupata taarifa za utendaji na kujua mnyumbulisho wa Kodi yangu,si lzm niende dodoma.Nenda ofisi za CAG usiandike upuuzi humu.
Unapiga ramli mzee
Huu mradi wa kuiigiza copy & paste toka China na Japan ni mgumu kweli kweli maana gharama yake kumlazimisha mkandarasi kuweka mbwembwe nyingii zisizo na lazima ili tu matarajio ya CCM Mpya kisiasa yatimie yanaifilisi nchi yetu Tanzania.
Kupitia video hii ya SGR reli Tanzania kulinganisha na mitandao ya reli za nchi zingine zenye uchumi mkubwa za Marekani ya Kaskazini, bara ulaya , Mashariki ya mbali China, Japan, Korea ya Kusini mpaka Oceania hapa CCM Mpya imeamua kutumia fedha nyingi bila ulazima wowote.
Tusubiri hii SGR reli Mpya itakayokuwa na urefu wa kilometa 1,200 kuona lini itakamilika na kama itaweza kuchochea makuzi ya kiuchumi na viwanda ndani ya Tanzania.
Maana tunaona ujenzi wa reli Mpya ukiendelea bila serikali kuanisha migodi mingapi ya makaa ya mawe ya Tanzania, viwanda vingapi vya ndani, mifugo ipi , mazao ya kilimo n.k itasafirishwa toka kona moja ya nchi yetu kwenda pembe nyingine ya Tanzania kuleta ajira rasmi nyingi za kuongeza thamani mazao, madini ya chuma pia upanuzi wa masoko ya ndani n.k
Kisijengwe chochote iwe barabara reli miradi ya umeme zahanati mashule chochote kisifanyike halafu mabeberu wachote rasilimali zetu tuwaache tu Kama walivyotutisha kuhusu dhahabu yetu in short hao jamaa Ni mawakala wa mabeberu kazi ni kukwamisha maendeleo ya Tanzania kwa maslahi ya wakubwa zaoKwani hawa jamaa walitaka Tanzania iwe vipi?
Kumbuka pia kuna masoko makubwa ya Congo, Rwanda,Burundi na Uganda ambayo yatapitisha mizigo yao hapo