mysteryman
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 1,080
- 398
Haaaa.....we ulikuwa wapi siku zote hizo???
Pole wee ulipotea na kila kitu kikapotea.........vipi yule shemeji yako hajambo??
Btw; kale kampango sio bana, we jifanye tu kama umekasahau kabisa!!
hakuna hiyo.......kusahau?-??afu atakua bishanga ndo ananiharibia tu huyu...lol, yule shemeji kapona ila yalonikuta we acha tu.....ngoja nikayaweke jukwaa la kule kwenye mambo yetu....
jibu umelipata kuleeeee kwenye 'i have found the love of my life' nimekoleaje sasa??? mwambie tu ticah ahamie airtel, lolest!mmmmmhh...shosti??
Himaya huwa ni ya malikia na mfalme tu, hayo mengine ya threesome ni ubatili my dear!!
Fanyafanya umnyakue kikweli kwelii.....
kipipi hope sasa umenisoma! mzima weye lakini?Owkeyy........
But usinilaumu chipenzi, we ndo haukunifahamisha vizuri!