Good news: Diamond athibitisha Wasafi Tower kukamilika 95%

Tuwache uongo mziki kimziki diamond kafanikiwa hiv uliwahi kutegemea siku moja msanii wa Kitanzania atamiliki hotel?
 
Haya dada wa kibabuli
 
Yaani wewe ni zero brain ,unazungumzia Hotel au Restaurant? Hata Shishi Bebi anamiliki HOTEL.
Duh! kwa hiyo ile sio hotel mzee baba unadharau Sana aisee labda mwenzetu una maisha mazuri ndio maana unaona ile Ni restaurant
 


Naona una hasira sana mkuu, mambo mengine we yaache tu ili maisha yaendelee
 
wewe kumbe ni mgeni wa wasanii.
Una umri gani kwanza?
So unataka kuniambia signing ya document aliyokuwa anaonesha akifanya na mmiliki wa ile hotel aliyeuza Ni uongo? Mpaka akakututembeza maeneo yote ya ndani na nje ya hotel na akatutajia eneo ambalo ipo hiyo hotel inamaana hivyo vyote anaigiza?
 
Kwa wasanii mbona ni kitu cha kawaida sana.
wewe una uhakika gani kama hiyo document aliyokuwa anasaini haikuwa feki?
So unataka kuniambia signing ya document aliyokuwa anaonesha akifanya na mmiliki wa ile hotel aliyeuza Ni uongo? Mpaka akakututembeza maeneo yote ya ndani na nje ya hotel na akatutajia eneo ambalo ipo hiyo hotel inamaana hivyo vyote anaigiza?
 
Hata Mimi naweza kusimama jukwaani nikasema namiliki Hotel ya nyota 5 kumbe nyuma ya pazia Hotel ni ya watu wanaokwepa mkono wa serikali wananitumia
Hizo Ni fikra zako kwa level alifikia diamond sio za kudanganya umma na adanganye umma ili iweje? Mzee usikariri maisha sio kila msanii anaweza kuishi maisha ya kufake
 
Tufanye ana asilimia 10 bado nasema sio mchezo.
Tufanye ana 1% mimi nasema Heshima yake apewe tu hamna escaping ktk hili panapohitaji kusifiwa na pasifiwe maana hata angekua na 0.1% bado atabaki kuwa mfano wa kuigwa kwa vijana wengi,nani anajali hisa ni zake au si zake.

tu assume hisa si zake lakini kuna mtu kakubali jina la Diamond litumike badala ya jina lake (hii je ni ndogo),wengine sisi ukimuita mtu CONTROLA anakwambiia nitolee ujinga usinifananishe na huyo mtu,lkn kuna mtu mahali

kakubali kuweka jina lake pending na kuweka jina Diamond mbele,asee hebu tujifunze kukubali maendeleo ya wengine hata ktk hicho kidogo,maana hatutopungukiwa na kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…