Good News: Diamond Platnumz Studio na Snoop Dogg

Good News: Diamond Platnumz Studio na Snoop Dogg

Acha ukali na matusi jina kabadilisha ila Snoop ipo pale pale ndiyo maana sijamalizia kama wewe.

Na wimbo huujui?
Snoop Lion alilitumia kidogo sana alipofanya reggae album project ilipoisha akarudia jina la zamani
 
Simshangai huyu hanangwa mleta uzi

Nawashangaa wanaocoment hapa.
🚶🚶🚶🚶
 
Mkuu hilo sidhani mtu kama swiz beatz mbona profile yake kiuchumi yuko vizuri
Labda wameona fursa kwa wasanii wa africa sasa hv

Hapana sina maana kuwa kafulia hapana kwani kwa mkwanja anao wa kutosha
Ila blacks wengi wanapata hela na kuzitumbua tu na mwisho wake mpaka nyumba walizonunua wanauza
Rejea Mike Tyson na Evander wote wameamua kuuza nyumba walizonunua kwa sababu hawaeekezi kwenye biashara kubwa kubwa
Ila wapo wachache wamewekeza
 
Mkuu Twilumba Nami naona kama Quarantine Remix ikimpaisha mwakani endapo ataifanya na Snoop D au Rapper yeyote wa majuu ambaye ni iconic brand kimataifa kwa sasa.
 
Back
Top Bottom