GOOD NEWS: Ni Emmanuel OKWI ndani ya YANGA, asaini Miaka Miwili.

Hongereni watani,kikosi kitakua imara zaidi,msimbazi hali haijakaa poa mpaka rage atimke.
 
Mbona una hasira sana? Yanga ya sasa inaweza kucheza soka la kimataifa na si kitaifa.

CAF wana akili sana, baada ya kumsajili Okwi ambaye mnadhani ndo mwarobaini kwenye timu yenu wa mechi za kimataifa wakaweka kizingiti kimojawapo kwenye njia yenu ya kufikia ubingwa wa klabu bingwa Africa, mkipita hapo kweli nitaamini Okwi ndo mwarobaini wenu.
 
Hapo Mkuu umenena. CAF haiwaitakii mema Yanga. Hatuna jinsi tutapambana nao Al-Ahly hadi kieleweke.
 
Tutajaribu Mkuu.

Mkuu nyie kajaribuni, lakini kwa hapa sitaki kuwatakia hata kila la heri maana mchezo mliotuchezea na Rage wenu sio kabisa, ningependa nione Okwi analambwa red dakika za mwanzo tu wa mchezo na Kaseja naye apate japo yellow kwa kila mchezo kwenye hatua ya awali kwa kosa la kuchelewesha muda, hivyo hataqualify kucheza na Al-ahly msije mkasema analeta unazi.
 
CAF wana akili sana, baada ya kumsajili Okwi ambaye mnadhani ndo mwarobaini kwenye timu yenu wa mechi za kimataifa wakaweka kizingiti kimojawapo kwenye njia yenu ya kufikia ubingwa wa klabu bingwa Africa, mkipita hapo kweli nitaamini Okwi ndo mwarobaini wenu.

Hatumzungumzii Okwi, ni YANGA.
 
Mkuu nyie kajaribuni, lakini kwa hapa sitaki kuwatakia hata kila la heri maana mchezo mliotuchezea na Rage wenu sio kabisa, ningependa nione Okwi analambwa red dakika za mwanzo tu wa mchezo na Kaseja naye apate japo yellow kwa kila mchezo kwenye hatua ya awali kwa kosa la kuchelewesha muda, hivyo hataqualify kucheza na Al-ahly msije mkasema analeta unazi.

Bila shaka utakuwepo utaifa kuwashabikia Al-ahly!!
 
Yanga wamefanikiwa rasmi kupata saini ya emmanuel okwi kutoka sc villa ya uganda..
Source ni mimi mwenyewe.

Hivi inawezekana kuingia Mkataba mpya na timu nyingine kabla ya uliopo haujaisha?
 
Bila shaka utakuwepo utaifa kuwashabikia Al-ahly!!
Huwa sina kawaida ya kushabikia timu ngeni na wala sina kawaida ya kuwa upande wa Yanga, mara nyingi Yanga wanapocheza na timu ya nje huwa nabaki kuwa mtazamaji tu lakini kwa kejeri zenu hizi safari hii lazima nishangilie wageni mwanzo mwisho, na furaha yenu ya kumpata Okwi CAF wakaamua waivuruge.
 
Hivi inawezekana kuingia Mkataba mpya na timu nyingine kabla ya uliopo haujaisha?
Ndio. Inaitwa kuvunja mkataba kwa makubaliano. Muhimu ni kanuni za FA za nchi husika iwapo zinaruhusu mchezaji huyo kuhama timu ya zamani na kuhamia timu mpya ndani ya kipindi hicho. FUFA kuipatia Yanga ITC ya Okwi ina maana kwamba kanuni yao inaruhusu Okwi kuhama muda huu. Na kwa kuwa hapa TZ ni wakati wa usajili (ingawa ni wa Dirisha Dogo), nadhani kanuni ya TFF inamruhusu kuhamia Yanga.
 
Huwa sina kawaida ya kushabikia timu ngeni na wala sina kawaida ya kuwa upande wa Yanga, mara nyingi Yanga wanapocheza na timu ya nje huwa nabaki kuwa mtazamaji tu lakini kwa kejeri zenu hizi safari hii lazima nishangilie wageni mwanzo mwisho, na furaha yenu ya kumpata Okwi CAF wakaamua waivuruge.

Hivi Masuke unafahamu kuwa Al-Ahly wameshtuka sana kupangwa na Yanga, wangekuwa na uwezo wa kupangua ratiba basi wangefanya. Huko Misri ni gumzo, waarabu sasa hivi waanza kuingiwa wasiwasi juu ya Yanga, wenyewe wanaiita Bayern Munich ya Afrika kwasababu ni team ambayo kila Idara imekamilika. Nimeongea na Manji jana jioni amenambia kuwa ikitokea Al-Ahly wataitoa Yanga basi ye anajihudhuru.
 
Teh teh teh, unahitaji nafasi kwenye kipindi cha akina Masanja au kule Futuhi ukaonyeshe kipaji chako.
 
Simba wivu utawaua.
Mlipokuwa mnachekelea kumpata Okwi na kumsifia mchezaji wa kimataifa mmepagiwa mabingwa watetezi mmechanganyikiwa na mtachanganyikiwa zaidi jumamosi tutakapowaonyesha kwamba Simba ndo tanuru lililompika Okwi na sasa kuna wengine washapikwa na tayari wameshakuwa kama dhahabu, vijana wataonyesha soka la kiwango cha juu.
 
Inabidi Erick Shigongo akupeleke kwenye magazeti yake ya udaku maana unajua sana kuongea vitu ambavyo havipo ktk uhalisia.
 
Dah Rage aisee mbona unatunyima raha mjini hapa!! Kwa nini unatufanyia hivi wana Simba wenzako haya bhana kina Chanogo si ndio mastaa wetu..... Dah hii habari sio nzuri hata kidogo kwetu

CHANONGO mwenyewe kuna viongozi wanamtia zengwe eti na damu ya njano.......kwa hiyo muda wowote anaweza asiwe na wekundu.....
 
Back
Top Bottom