Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,491
- 2,104
Makoye Matale,
Acha kuwavunjia heshima akina MWANAFYALE (Mbeya City), mtani wa Azam ni Miembeni, KMKM, Makunduchi hao ndo anaweza kuvuana nao upapi
Masikini roho yake!Mwenzako alikua anafikiri yuko jukwaa la Siasa.
Mbona una hasira sana? Yanga ya sasa inaweza kucheza soka la kimataifa na si kitaifa.
CAF wana akili sana, baada ya kumsajili Okwi ambaye mnadhani ndo mwarobaini kwenye timu yenu wa mechi za kimataifa wakaweka kizingiti kimojawapo kwenye njia yenu ya kufikia ubingwa wa klabu bingwa Africa, mkipita hapo kweli nitaamini Okwi ndo mwarobaini wenu.
Hicho kizingiti si mchezo, Katumbi pamoja na jeshi lake ananyosha mikono.Hapo Mkuu umenena. CAF haiwaitakii mema Yanga. Hatuna jinsi tutapambana nao Al-Ahly hadi kieleweke.
Hicho kizingiti si mchezo, Katumbi pamoja na jeshi lake ananyosha mikono.
Tutajaribu Mkuu.
CAF wana akili sana, baada ya kumsajili Okwi ambaye mnadhani ndo mwarobaini kwenye timu yenu wa mechi za kimataifa wakaweka kizingiti kimojawapo kwenye njia yenu ya kufikia ubingwa wa klabu bingwa Africa, mkipita hapo kweli nitaamini Okwi ndo mwarobaini wenu.
Hapo Mkuu umenena. CAF haiwaitakii mema Yanga. Hatuna jinsi tutapambana nao Al-Ahly hadi kieleweke.
Mkuu nyie kajaribuni, lakini kwa hapa sitaki kuwatakia hata kila la heri maana mchezo mliotuchezea na Rage wenu sio kabisa, ningependa nione Okwi analambwa red dakika za mwanzo tu wa mchezo na Kaseja naye apate japo yellow kwa kila mchezo kwenye hatua ya awali kwa kosa la kuchelewesha muda, hivyo hataqualify kucheza na Al-ahly msije mkasema analeta unazi.
Yanga wamefanikiwa rasmi kupata saini ya emmanuel okwi kutoka sc villa ya uganda..
Source ni mimi mwenyewe.
Huwa sina kawaida ya kushabikia timu ngeni na wala sina kawaida ya kuwa upande wa Yanga, mara nyingi Yanga wanapocheza na timu ya nje huwa nabaki kuwa mtazamaji tu lakini kwa kejeri zenu hizi safari hii lazima nishangilie wageni mwanzo mwisho, na furaha yenu ya kumpata Okwi CAF wakaamua waivuruge.Bila shaka utakuwepo utaifa kuwashabikia Al-ahly!!
Ndio. Inaitwa kuvunja mkataba kwa makubaliano. Muhimu ni kanuni za FA za nchi husika iwapo zinaruhusu mchezaji huyo kuhama timu ya zamani na kuhamia timu mpya ndani ya kipindi hicho. FUFA kuipatia Yanga ITC ya Okwi ina maana kwamba kanuni yao inaruhusu Okwi kuhama muda huu. Na kwa kuwa hapa TZ ni wakati wa usajili (ingawa ni wa Dirisha Dogo), nadhani kanuni ya TFF inamruhusu kuhamia Yanga.Hivi inawezekana kuingia Mkataba mpya na timu nyingine kabla ya uliopo haujaisha?
Huwa sina kawaida ya kushabikia timu ngeni na wala sina kawaida ya kuwa upande wa Yanga, mara nyingi Yanga wanapocheza na timu ya nje huwa nabaki kuwa mtazamaji tu lakini kwa kejeri zenu hizi safari hii lazima nishangilie wageni mwanzo mwisho, na furaha yenu ya kumpata Okwi CAF wakaamua waivuruge.
Teh teh teh, unahitaji nafasi kwenye kipindi cha akina Masanja au kule Futuhi ukaonyeshe kipaji chako.Hivi Masuke unafahamu kuwa Al-Ahly wameshtuka sana kupangwa na Yanga, wangekuwa na uwezo wa kupangua ratiba basi wangefanya. Huko Misri ni gumzo, waarabu sasa hivi waanza kuingiwa wasiwasi juu ya Yanga, wenyewe wanaiita Bayern Munich ya Afrika kwasababu ni team ambayo kila Idara imekamilika. Nimeongea na Manji jana jioni amenambia kuwa ikitokea Al-Ahly wataitoa Yanga basi ye anajihudhuru.
Teh teh teh, unahitaji nafasi kwenye kipindi cha akina Masanja au kule Futuhi ukaonyeshe kipaji chako.
Mlipokuwa mnachekelea kumpata Okwi na kumsifia mchezaji wa kimataifa mmepagiwa mabingwa watetezi mmechanganyikiwa na mtachanganyikiwa zaidi jumamosi tutakapowaonyesha kwamba Simba ndo tanuru lililompika Okwi na sasa kuna wengine washapikwa na tayari wameshakuwa kama dhahabu, vijana wataonyesha soka la kiwango cha juu.Simba wivu utawaua.
Mlipokuwa mnachekelea kumpata Okwi na kumsifia mchezaji wa kimataifa mmepagiwa mabingwa watetezi mmechanganyikiwa na mtachanganyikiwa zaidi jumamosi tutakapowaonyesha kwamba Simba ndo tanuru lililompika Okwi na sasa kuna wengine washapikwa na tayari wameshakuwa kama dhahabu, vijana wataonyesha soka la kiwango cha juu.
Dah Rage aisee mbona unatunyima raha mjini hapa!! Kwa nini unatufanyia hivi wana Simba wenzako haya bhana kina Chanogo si ndio mastaa wetu..... Dah hii habari sio nzuri hata kidogo kwetu