GOOD NEWS: Ni Emmanuel OKWI ndani ya YANGA, asaini Miaka Miwili.

Nasikia msimbazi pamenuka, polisi wanataka kufanya yao
Mlio jirani na msimbazi please tupeni taarifa
 
Gamaha njoo hapa maana ulikuwa unataka Picha ya Okwi Yanga. Ahsanteni sana Yanga.

Nimeona mkuu kwa kweli nimebaki nashangaa tu Rage ni gaidi, inabidi aondoke Simba haraka sana
 
Nasikia msimbazi pamenuka, polisi wanataka kufanya yao
Mlio jirani na msimbazi please tupeni taarifa

Mkuu ram kuna update zozote? Manake akili za msimbazi wanazielewa wenyewe tu.
 
Last edited by a moderator:
Hakuna anaejibu aisee... ngoja nimtafute kapuya, namba zake sizimo humu?

Mkuu ram kuna update zozote? Manake akili za msimbazi wanazielewa wenyewe tu.
 
Last edited by a moderator:

Halafu jamaa wanavaa Nyekundu na Nyeupe, itakuwa raha sana kuwashangilia hawa jamaa kati ya 28th Feb, 1st march na 2nd march.

TP Mazembe vs Al Ahly (1 - 2) - YouTube
 
Halafu jamaa wanavaa Nyekundu na Nyeupe, itakuwa raha sana kuwashangilia hawa jamaa kati ya 28th Feb, 1st march na 2nd march.

TP Mazembe vs Al Ahly (1 - 2) - YouTube

TP Mazembe wameiharibu sana, ni risk kubwa kutegemea wachezaji chipukizi kama akina Samatta ambaye hata pale Simba alikuwa ni msugua benchi. TP Mazembe ya sasa si ile iliyoitandika Simba home and away kisha Simba ikashinda mezani. Kwa hiyo usiwape ujiko Al-Ahly kwa kutumia matokeo ya TP Mazembe, wakikutana na Yanga watasikitika! Hata hao TP Mazembe waleteni kwa Yanga muone tutakavyowacharaza!
 
Kwa Imani hii unaweza kuamuru mlima Kilimanjaro uhamie hata Ikungu lya bashashi na ukahama.
 
nitakuomba utengue kauli yako Kiongozi...Mbwana Samata akiwa Simba hakuwahi kusugua Benchi, isipokuwa yeye binafsi aliweka mgomo karibia nusu msimu akidai kutimiliziwa mahitaji yake kitu ambacho Simba walitimiza na Samata kuingia uwanjani kama Nyati aliyejeuriwa na kuanza kucheka na nyavu. .
 
Kwa nini, Ni b'huli?
Mkuu kwa jinsi unavyoamini kwamba Al-Ahly siku wakikutana na Yanga watasikitika na hata hao TP Mazembe nao mtawachakaza unadhani hiyo ni Imani ndogo, na maana ya Imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, hivyo una uhakika kwamba mafarao watasikitika.
 
NAULIZA tu jaman,kwani mpaka sasa nani MTANI JEMBE?
 
Tatizoow Simba na Yanga wanasajilii kwa kukomoana wala hawafuati Benchi la ufundi,,,wehu wote
Okwi dhaifu nilikuomba challange sio yule niliyezoea kumuona simba enzi za akina samata na marehemu mafisango. Ndio maana napata picha kwa nini tunisia wamegoma kulipa pesa simba.
 
Kwa hela zote alizovuta hata angeenda bubu angeluja na saini ya okwi. Zingatia kwamba huko Uganda alikuwa anacheza bure huku akiwinda timu itakayomuona anafaa. Walijua timu yenye hela ni yanga na hilo halina ubishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…