GOOD NEWS: Usafiri na Uhakika kwa waagiza na wauzaji wa mizigo ya kimataifa

GOOD NEWS: Usafiri na Uhakika kwa waagiza na wauzaji wa mizigo ya kimataifa

Joined
Mar 23, 2023
Posts
93
Reaction score
108
🌍 GOOD NEWS: USAFIRI NA UHAKIKA KWA WAAGIZA NA WAUZAJI WA MIZIGO YA KIMATAIFA 🌍
255626201416

Unataka kuagiza mizigo kutoka China πŸ‡¨πŸ‡³ au kuuza bidhaa za Kitanzania nje ya nchi 🌏? Faidika na huduma zetu za kipekee:


πŸ›‘οΈ Lipa Baada ya Kupokea Mzigo

Tunamlipa supplier wako baada ya mzigo kufika Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ au kupokelewa na wakala wa usafirishaji, kupitia kituo chetu cha ukaguzi na uhakiki.


πŸ” Ukaguzi Kabla ya Malipo

Mizigo yako hukaguliwa na wataalamu wetu China πŸ‡¨πŸ‡³ kabla ya malipo ili kuhakikisha ubora na usahihi wa bidhaa zako, au kabla ya kusafirishwa rasmi.

πŸ“œ Linda Malipo Yako

Tunakusaidia kuandaa hati rasmi zinazolinda maslahi yako. Pia, tunakusaidia kurejesha pesa zilizoko kwenye hatari ya kupotea kwa matapeli wa mtandaoni, kwa mizigo midogo au hata kontena kamili.


🚒 Usafirishaji Salama

Tunatoa huduma za kusafirisha mizigo kutoka China πŸ‡¨πŸ‡³ hadi Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ kwa wakati na kwa gharama nafuu.

Tunakusaidia kufikisha mizigo kwenye bandari, viwanja vya ndege, bandarini, na mipakani.

Kwa wateja wanaohitaji tathmini ya gharama kabla ya kuagiza, tunakupa mfumo unaokadiria:

Gharama za usafirishaji.

Kodi ya bidhaa.

Makato ya benki.

Tarehe ya kufika.

Hatari zinazowezekana.


Huduma kutoka China πŸ‡¨πŸ‡³ hadi kwenye nchi zote za Afrika Mashariki 🌍.


πŸŽ“ Huduma za Bure

Ushauri wa kitaalamu kwa uagizaji wa bidhaa zako.

Uhakiki wa kampuni yoyote bure (kwa mizigo mikubwa).

Semina za biashara bure kwa maarifa ya kuuza nje au kuagiza kwa faida.


🌍 Kwa Wale Wanaotaka Kuuza Bidhaa za Kitanzania Nje ya Nchi (Wafanya Biashara na makampuni)

Tunakupa huduma ya kipekee ya Inteligencia Biashara:

πŸ“Š Kukusaidia kutambua masoko ya kimataifa yanayohitaji bidhaa zako.

🀝 Kukupa taarifa muhimu kuhusu washirika wa biashara, wateja maalum, na mahitaji ya masoko.

🧠 Ushauri wa kitaalamu wa kufanikisha malengo yako ya kuuza bidhaa nje ya nchi.


Wasiliana Nasi kwa Maelezo Zaidi πŸ“²

πŸ“ž WhatsApp au Simu: +255626201416
πŸ“§ Barua pepe: ndumbaro@tradesafeagency.co.tz
 
Labda nikawa nahitaji TV Hisence 65'
Habari Mr,

Ningekushauri kuwa, kwa kununua TV moja, ni bora ununue hapa Tanzania, hasa kama ni brand ya Hisense mpya. Hii ni kwa sababu ununuzi na usafirishaji wa TV moja kutoka nje utagharimu sana na kuongeza riski. Hii ni kutokana na mambo kama:

1. Gharama za Usafirishaji: Usafirishaji wa TV moja utagharimu pesa nyingi kuliko kama ungetumia usafirishaji wa bidhaa kwa kiasi kikubwa. Hii ni haswa kama mngekuwa na idadi kubwa ya vitu, kama watu 5 au zaidi.

2. Muda: Inachukua muda mrefu kusafirisha na kuleta TV moja kwa meli.

3. Hatari: Usafirishaji wa TV moja unakuja na hatari ya kuharibika au kuchezewa vibaya in transit.


Hivyo, nunua nje vitu kama hizi tu kama:

Gharama ni kubwa Tanzania.

Bidhaa hiyo ni adimu Tanzania.

Unahitaji ubora ambao haupo hapa Tanzania.

Au kuna brandi mbadala yenye ubora sawa lakini kwa bei nafuu.

Au unazonunua kwa quantity kubwa.

Au mtumba kwa bei ya chini sana


Hivi karibuni, tumepokea mzigo wa TV ikiwemo Hisense 65" 4K original, ambao unauzwa kwa Tsh 1,420,000. Bei hii ni ya ndani, na ukihitaji, unaweza kufika ofisini kuchukua.

Hata hivyo, ingawa kuna faida ya kununua kutoka nje, ningekushauri kuzingatia gharama na manufaa yako kabla ya kufanya uamuzi.


Tuwasiliane kwa maelezo zaidi!
 
Back
Top Bottom