GOOD NEWS

GOOD NEWS

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
15,267
Reaction score
29,917
```GOOD NEWS: Serikali imesema kuwa bei mpya ya sukari kwanzia mwezi ujao itakuwa Tsh. 1000 kwa kilo moja.```

SOURCE: Gazeti MAJIRA November 1998.. napenda sana kusoma news za zamani.
 
afadhali miaka hyo walijibu maombi yetu siku iyo nilikuwa nipo natoka shule nkakutana n gazeti ilo....teh kam nlikuepo
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji2] [emoji38]....
Bange mbichi mbaya saanaa
 
Ugonjwa wa akili unasumbua watu kwa serikali gani itakayowafanyia ivo tz nyie tulieni muisome number...
 
```GOOD NEWS: Serikali imesema kuwa bei mpya ya sukari kwanzia mwezi ujao itakuwa Tsh. 1000 kwa kilo moja.```

SOURCE: Gazeti MAJIRA November 1998.. napenda sana kusoma news za zamani.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Daaa dunian kuna mengi mungu nijalie niendlee kuish nione maajabu ya uumbaji wakoo!!!!!
 
Back
Top Bottom