We unipe mahela mengiiiii tu yaan utaniiba mazima
Naomba ufute tafadhali... Ila nakupa alert angalia usije ukamsusa mazima
[emoji35] [emoji35]Njo kwangu uniibe kidogo kama una mahaela maliza kusoma nifute kabla Davet hajakuja
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mi mwenyewe nimeiba ndugu yangu. [emoji23][emoji23]
Mbona mimi nipo dar ila chips mara mwisho kula ni 2016[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimeonaa chips [emoji23][emoji23][emoji23]
Babe jamani nilikumiss unaona nataka kuibwa ukiacha kunipa mahela tu naibwa mazima[emoji35] [emoji35]
Nikikukubali mimi hakuna wa kukukataa.Beb unataka nisemwe? We ushanikubali na ubaya wangu inatosha
Nin y3ye huyo hasiyeaminMbona nakupenda jamani
Opp na heinken house pametulia ila jumamosi kunakuaga na band nasikia nahisi kuna fujo nilishaenda mara mbili 3 hivi ni karibu na homeNafika wakunyumba. [emoji23][emoji23]. Nilipelekwa na shoga angu nikapapenda kidogo maana mie na Sinza tuna matatizo
SanaaaaaIla chips tamu nyie.
Kwenu nzurIla chips tamu nyie.
Ila ukila sana usisahau mazoezi shemSanaaaaa
Unataka kuibiwa au unajiibisha?Babe jamani nilikumiss unaona nataka kuibwa ukiacha kunipa mahela tu naibwa mazima
Yaan shem na huu ubonge jamani acha tu mazoezi ni muhimuIla ukila sana usisahau mazoezi shem
Kumbeee nitakuwa nakula kila sikuKwenu nzur
znaweka shape katika ubora wake
Ubonge umeanza lin shemYaan shem na huu ubonge jamani acha tu mazoezi ni muhimu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijiibishi nataka kuibwaUnataka kuibiwa au unajiibisha?
Miss u too...
Na mazoez lakin usisahauKumbeee nitakuwa nakula kila siku
Khaaaa mbona me ni kibonge shem toka nimezaliwa jamani au unanifananisha na mtu humu jfUbonge umeanza lin shem
Mazoezi ni witoNa mazoez lakin usisahau