Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Itanibidi nikaoge maji ya madafu ili kutoa huu mkosi khaaa.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Itanibidi nikaoge maji ya madafu ili kutoa huu mkosi khaaa.....
Yuko wapiNamtafuta my wangu
Mkimuona mniite au mumwambie nakufwaa na kumhamu balaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Itanibidi nikaoge maji ya madafu ili kutoa huu mkosi khaaa.....
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hahaha ndio ubadilishe
Kweli kabisaaPicha yake? Sitaki watanibebea
Naomba ufute tafadhali... Ila nakupa alert angalia usije ukamsusa mazimaNjo kwangu uniibe kidogo kama una mahaela maliza kusoma nifute kabla Davet hajakuja
WoooooooooooozeeeeeeeeerNew couple in town[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nasubili uzi wenu mkuuNew couple in town[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Pigilia msumari hapo hapoSitaki waibe hata kivuli chako
We unipe mahela mengiiiii tu yaan utaniiba mazimaNaomba ufute tafadhali... Ila nakupa alert angalia usije ukamsusa mazima
Town ya jfNew couple in town[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahah kama kiasi gani vile.....We unipe mahela mengiiiii tu yaan utaniiba mazima
Simuoni yaani hapa moyo uko mbio sanaa watu hawakawii kuepeperusha njiwa wangu.Yuko wapi
Atakayepeprusha njiwa wako mshikie paja la kuku tu (bastola)Simuoni yaani hapa moyo uko mbio sanaa watu hawakawii kuepeperusha njiwa wangu.
Inaumaa sanaa watu sio kabisa!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Town ya jf
Yaan unipe tu mahela mengi tukiwa wote unanipa tu mahela sio mpaka nikuombe mwanaume unatakiwa ujue wajibu wako jamaniHahah kama kiasi gani vile.....
We endelea hivyo hivyo kutomtaja wenzio wanajilia huko na kama ni Jolie Jolie ni mbebez wa hazard cfcSimuoni yaani hapa moyo uko mbio sanaa watu hawakawii kuepeperusha njiwa wangu.
Inaumaa sanaa watu sio kabisa!!
Fact mkuu...!Simuoni yaani hapa moyo uko mbio sanaa watu hawakawii kuepeperusha njiwa wangu.
Inaumaa sanaa watu sio kabisa!!
Shemej naona unakula kama mwanaume wa Dar. Vyema kuwawakilisha.Kwanza njoo tupate samaki pesa huwa zinazungumzwa private [emoji4] View attachment 726607