Ile nyama nyeupe hupendelei au hutumii kabisa?Sana ilaa naenjoy kula nikiwa nimemiss.
Karibu bbyNitashukuru bae.
Najua ananipenda shem na me nampenda mnooooAnakupenda sana
hujui tu
Na kweli yanataka uzoefu kama ulivyo wewe shemHaya mambo yanataka uzoefu shem
Rangi nyeusi etiRangi ip hiyo
Shemeji magonjwa mengiMnahamasishana wenywe kwa raha zenu
KitimotoIle nyama nyeupe hupendelei au hutumii kabisa?
Ni heri na baraka ndugu kupendanaNajua ananipenda shem na me nampenda mnoooo
Asante shemNi heri na baraka ndugu kupendana
AhahhahahahNa kweli yanataka uzoefu kama ulivyo wewe shem
Ni vizuri kujikinga semShemeji magonjwa mengi
Mbuzi katoliki ndio huyo huyoKitimoto
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa me Davet wangu hayawezi hata kuvumilia kidogoAhahhahahah
mim najikaza kiume hivo hvo
Rangi ya makalioni shemejiWanasema kwa kisambaa
Black is beauty
Na uroho wangu imenishinda huwa nadokoa tu ila siiweziMbuzi katoliki ndio huyo huyo