Good night

Ndio anayouza nayo Lupita nyongo kule kwa tirampu shem
Hivi ulielewa lakini shem alichoongea babe wangu si ulimkuta kule kwenye thread ya wanawake weusi hawaonekani ye akasema eti weusi umebaki makalioni tu sasa ikabidi me nijichungulie labda kweli na me kujichungulia najikuta matakoni sina weusi sijui alikutana na wanawake gani huko wana weusi matakoni
 
Nahisi dall za mtu kuchepuka na kurushwa ukuta.[emoji28][emoji28][emoji28]

Mkalishe chn akueleze vzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…