Good night

Huweji kujua nani utampenda ,utamkuta wapi? Muda gani ? Kwanini yeye? Unaempenda anaweza kuwa hata taahira lakini unampenda tu...hayo ndio mapenzi.
Hahahahaa.. yani kazi sana. Tunakaa tu tunasubiria Mungu akijaalia ila wakati wa kusubiria sasa tunavuta muda na warundi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…