Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lile darasa lake la vip linatuhusu lile ukishindwa kuongea unarudishiwa ada yakoDaah white itabidi twende kwa RAS simba naskia ana formular matata kiingereza unaongea kwa ufasaha ndani ya wiki moja tu [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Mpenz vibaya hivooMy love ujumbe ulikua wako huo
Mzigua ana makusudi huyu we mwache tu.....Ukaamua kutomtaja jina
Sawa shemShemeji acha nicheke tu unanichekesha
niliomba anitajie lakini holaaaa, naona amejileta mwenyewe maana wanasema mapenzi ni kikohoziNi mimi wifi ako mpenzi [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Ni kweli zoa zoa wapo kila mahali mpenzNyaku nyaku naogopa. Wanaweza kuniibia bure.
Hahha bhasi itanibidi nilimpie white halafu kila weekend anakuja kunipiga msasa tukiwa wawili..... [emoji85] [emoji85] [emoji85]Labda kama mnahela za kuchezea [emoji23]
Kulificha haliwezekan [emoji6][emoji2][emoji23][emoji2][emoji23][emoji2]niliomba anitajie lakini holaaaa, naona amejileta mwenyewe maana wanasema mapenzi ni kikohozi
teh teh
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] na shemeji alivyokuwa hakiii wanamwiiba huku tunamuona mana shemeji mwenyewe waru waruNyaku nyaku naogopa. Wanaweza kuniibia bure.
Yule fix kweli kwa usawa huu wa magu atakuambia utamke maneno wawili ukiyatamuka vizuri hapo najua nguvu ya kudai pesa yako hutokuwa nayo tena....Lile darasa lake la vip linatuhusu lile ukishindwa kuongea unarudishiwa ada yako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbona zoa zoaNi kweli zoa zoa wapo kila mahali mpenz
haaaaa hayaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaazNi kweli zoa zoa wapo kila mahali mpenz
Nimeipenda hiyo suprise mpenz.Nilijua ukiamka utaukuta mpenzi.