Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo hela unipe nikalipe mwenyewe halafu nitakuja kukupiga msasaHahha bhasi itanibidi nilimpie white halafu kila weekend anakuja kunipiga msasa tukiwa wawili..... [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Ndio nasubili hapo ukitafasiri naomba umtagi na white wangu maana ndege wafananao huruka pamoja [emoji5] [emoji5] [emoji5]Basi ntakutafsiria mwenyewe shemeji
Usijalijaman nimemuita tu mie, unajua vile napendaga wifi zangu mie
kale kakitenge ka kongo ndo napendaga mwambie
CC Mzigua90
Acha wizi we mwanamkeNimeshindwa kabisa kujizuia kwa jinsi nilivyofall kwa huyu kaka
EwaaaaaaaaNdio nasubili hapo ukitafasiri naomba umtagi na white wangu maana ndege wafananao huruka pamoja [emoji5] [emoji5] [emoji5]
haswaaaa, naona umelitema mwenyeweKulificha haliwezekan [emoji6][emoji2][emoji23][emoji2][emoji23][emoji2]
ewaaaaaaa, hapo chahaUsijali
pasaka hii mambo yatanoga
Siibiwi kirahisi shem.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] na shemeji alivyokuwa hakiii wanamwiiba huku tunamuona mana shemeji mwenyewe waru waru
Hapo atleast na sisi tutajifunza kuandika romantic message..... [emoji12] [emoji12] [emoji12]Ewaaaaaaaa
Zoa zoa si hao wanaokwiba wapenz wa watu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbona zoa zoa
amina wifi angu wa ukweliNimeshindwa kabisa kujizuia kwa jinsi nilivyofall kwa huyu kaka
Usiende huko bnahaaaaa hayaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaz
napita tu mie kaka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mnooooooWhite kafungwa minyororo haruhusiwi kutembea kabisa.