theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,681
[emoji12] [emoji12] [emoji12] naomba tu mzigua asije akakupeleka sijuii wapi huko asubuhi ukaamka huna kituHizo hela unipe nikalipe mwenyewe halafu nitakuja kukupiga msasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji12] [emoji12] [emoji12] naomba tu mzigua asije akakupeleka sijuii wapi huko asubuhi ukaamka huna kituHizo hela unipe nikalipe mwenyewe halafu nitakuja kukupiga msasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shemeji ako waruwaru eeh.
Basi kakutana na mwenzie hapa [emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu shemeji acha kufukua makaburiSiibiwi kirahisi shem.
sawa kakaUsiende huko bna
Njoo uongee na wifi yako kwanza
Ngoja nitengeneze kopi yangu. Wakitaka kuiba waibe kopi. Orijino unabak nayo.Ndio beb. Wakikuiba unadhani ntapata wapi mwingine kama wewe.
[emoji20] [emoji20] [emoji20] yaani wote humu wamewaiwaWhite kafungwa minyororo haruhusiwi kutembea kabisa.
Nan anaibiwa shemAcha wizi we mwanamke
Halafu best hizo emoj yaan sizipendi jamani usiniwekee mm[emoji12] [emoji12] [emoji12] naomba tu mzigua asije akakupeleka sijuii wapi huko asubuhi ukaamka huna kitu
Najua anaongopa huyu mzigua.....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mnoooooo
KabisaaaaSio rahisi kujificha
Hakuna shemeji nimejiandikia tuNan anaibiwa shem
Aaaah kuwa huru dada.haswaaaa, naona umelitema mwenyewe
ila kile kimalkia sikukielewa vizuri, utakuja nitafasaria nimtumie na mimi shemeji yako
au ni kwa ajili ya wanawake tu? nisije umbuka maana nilishaikopi sehemu nasubiria tu muda na mimi niitume.
Pls nisaidie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan kuna mda najishtukia au nilivyozaliwa nilionyeshewa hela[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dada unapenda hela khaaah
Huhuu sawa white.... nitaanza weka zile zina macho mekundu mekunduHalafu best hizo emoj yaan sizipendi jamani usiniwekee mm
Haongopi yaan huo ni ukweli ndio mana nimechekaNajua anaongopa huyu mzigua.....
We usiniwekee emoj jamaniHuhuu sawa white.... nitaanza weka zile zina macho mekundu mekundu