Good Old Days

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nammiss tu lara 1jamani
 
Ila siku najiunga Jf mara ya kwanza hakuna member nilikua nawaogopa kama The Boss BAK Bujibuji [emoji23] na Kiranga
Mimi ni mtu mmoja approachable sana, tena nina uvumilivu mkubwa sana, hata kwa ujinga, ila kama anayefanya ujinga anaweza kuutetea tu.

Tatizo naweza kuuliza swali la kifalsafa bila kumlenga mtu kibinafsi, halafu mtu akachukulia namlenga kibinafsi.
 
Mifano tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…