Wanajamii salamu!! naomba msaada wa taarifa. Ningependa kufahamu shule ambayo ina hostel au boarding school ambayo fee yake kwa mwaka is around TZS 1.5million.
Hii shule iwe good academically in A-Level, especially kwa combination ya EGM or PCB. Yeyote mwenye ufahamu, anitajie ada kwa mwaka na michango mingine ili niweze kujipanga. aidha, anifahamishe na sehemu ilipo shule husika. Si mnajua pesa zenyewe za manati!!!
Likewise, kuna mtu kaniambia St. Mary's Sec School- Mbezi campus ada yao ni TZS 400,000 kwa robo mwaka! Je, ni kweli? Na vp kuhusu academic status yake? waiting for your support wakuu
Mwanafunzi ni mvulana au msichana? St. Marys is not good at all, waweza kuona matokeao yao ya miaka iliyopita kwa uthibitisho.

Na ukiacha matokeo mabovu St. Mary's wamekua na skendo za kuiba mitihani mara kwa mara. Sina uthibitisho but lisemwalo lipo. Nadhani mhusika mwenyewe ata chunguza hilo.
Sasa inakuwaje wanaiba mitihani mara kwa mara lakini matokeo bado ni mabaya, how? it does'nt add up!
Mkuu I recommend Feza Boys. Nasikia mwaka wa jana waliongoza wao kwa Dar Es Salaam. So Academically I here it is good na ada zake sina exact figures but it is around hiyo 1.5 mill if I'm not mistaken. Nadhani you should look into this school.

Dah!! Niliacha very important information. mwanafunzi ni mvulana!!! Thanks kwa kunikumbusha na thx kwa infromation abt St. Mary.
Wanajamii salamu!! naomba msaada wa taarifa. Ningependa kufahamu shule ambayo ina hostel au boarding school ambayo fee yake kwa mwaka is around TZS 1.5million.
Hii shule iwe good academically in A-Level, especially kwa combination ya EGM or PCB. Yeyote mwenye ufahamu, anitajie ada kwa mwaka na michango mingine ili niweze kujipanga. aidha, anifahamishe na sehemu ilipo shule husika. Si mnajua pesa zenyewe za manati!!!
Likewise, kuna mtu kaniambia St. Mary's Sec School- Mbezi campus ada yao ni TZS 400,000 kwa robo mwaka! Je, ni kweli? Na vp kuhusu academic status yake? waiting for your support wakuu
Mkuu I recommend Feza Boys. Nasikia mwaka wa jana waliongoza wao kwa Dar Es Salaam. So Academically I here it is good na ada zake sina exact figures but it is around hiyo 1.5 mill if I'm not mistaken. Nadhani you should look into this school.
Nina negative attitude na utaratibu wa malezi ya watoto wetu walio katika umri wa elimu ya sekondari hasa katika kipindi hiki cha teknohama. Watanzania tumekuwa na tabia ya kuwapeleka kwenye shule za bweni na kuwaaachia waalimu kazi ya malezi. Tunasahahu kuwa waalimu wanafundisha taaluma na wala hawawezi kuwafundisha watoto maadili ya kifamilia ambayo yanatakiwa kufundishwa na wazazi. Baadhi ya watoto niliowahi kuwaona wakiwa na background za namna hiyo wamekuwa hawajitambui kuwa wao ni sehemu za familia zao na wanaaproach maisha kwa njia za pupa pupa kwa kuiga kutoka kwa marafiki ambao ndio waliokuwa sehemu kubwa ya maisha yao wakati wa kukua. Watoto wa kimarekani huishi majumbani na wazazi wao hadi wanapomaliza High School ndipo wanapoanza kujitegemea, na utawakuta approach zao kuhusu maisha ni tofauti kabisa na za watoto wetu.
I salute Feza Boyz academicallay, but am afraid ada yake itakuwa kubwa sana pale. but anyway, nitacheki nao. hata hivyo sizani kama wana hostel pale coz' nipo more interested na school with hostel or boarding school. but thx for advice, nitacheki
Feza Boys iko Tegeta.Fez bOYS...Hii shule ipo wapi maana ndiyo nasikia kwa mara ya kwanza leo....inaonekanani nzuri kutokana na watu wanavyoingoelea nina nephew wangu anaingia form 3 yupo shule moja ya boarding huko Mbezi beach madai yake siyo nzuri anataka kuhama though he is doing good repot yake kila mwaka yupo kwenye top 5 ila yeye anataka kuhama....naomba link ya hiyo shule ni check is out...maana tunataka ahamie semister ijayo awe katika shule inayotoa matokeo mazuri....he is a smart kid.
Fez bOYS...Hii shule ipo wapi maana ndiyo nasikia kwa mara ya kwanza leo....inaonekanani nzuri kutokana na watu wanavyoingoelea nina nephew wangu anaingia form 3 yupo shule moja ya boarding huko Mbezi beach madai yake siyo nzuri anataka kuhama though he is doing good repot yake kila mwaka yupo kwenye top 5 ila yeye anataka kuhama....naomba link ya hiyo shule ni check is out...maana tunataka ahamie semister ijayo awe katika shule inayotoa matokeo mazuri....he is a smart kid.